INAUZWA Nauza vitu vifuatavyo kwa dharula, nauhitaji mkubwa wa pesa

Side bed bei gani naomba picha kabisa Kama bado zipo
 
190, 000 nimkope mtu
Asante Boss wangu...hii ni hela nyingi unanipa na ni kweli nahitaji pesa kwa haraka sana ila nikiuza kwa 190k siwezi kufikia lengo la kuuza hizi items.
200k njoo uchukue kama kilivyo...
Hii double decker hakijachoka na sio local made ni imported ...ila kwa vile kimekaa store muda mrefu kinahitaji kufanyiwa service na usafi ambapo kwa 230k kila kitu kitu kingekuwa juu yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
N
Nitakucheki rasmi kesho kama kitakuwepo
 
Wakuuu Habari,Updates
Desktop core i3 imeshauzwaa
Vilivyobaki
Kindle reader with more than 100 Ebooks bei 200k
Samsung tab 10.1 with 80GB storage single line bei 350 with new flip cover
Hp laptop intel core i5 7th Gen bei 500k
Foldable Aluminium tent kubwa jipya kabisa bei 450k
Double decker bed imported size 5 x6 chini na juu 3 x 6 bei 230k kikiwa sprayed na kufanyiwa usafi..kikiuzwa kama kilivyo napokea 200k
Rm One Full HD display 21' bei 150k with VGA connector port,USB port and Dual DVI port ( Wakuu kama mtu anahitaji kujua maana halisi ya full hd display njoo chukua hii)
Speaker kubwa and its Booster kwa ajiri ya redio ya gari bei laki 2
Napatikana ubungo- Dsm
Mawasiliano 0713498825.
Note: Vitu vyote vipo katika hali nzuri nauzaa kwa dharula ya matibabu ya haraka sana.
Kariibuni.

Kwa Wapenzi wa kusoma vitabu..Hii Amazon kindle reader ndio kila kitu na bei nauza ya hasara sana kwa ajiri ya uhitaji mkubwa nilio nao ( ukinunua hii nitakupa bure kindle reader kwa ajiri ya mtoto yenye vitabu vingi vya watoto alikuwa anatumia mtoto wangu ameshakua mkubwa na karuhusu niitoe kama zawadi).


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm pia bado nipo. Ikikupendeza
Asante Boss offer nzuri, lakini siwezi fikia lengo la kuuza hizi items...hii pc ni intel processor core i5 7th Generation sio 4th Generation....niko tayari kuiiupgrade kwa ssd ya 32GB ili nipate not less than 500k.

Sent using Jamii Forums mobile app
Note:Gharama za kuupgrade kwa mafundi ni juu ya mteja mimi natoa offer ya ssd ambayo itabidi fundi aitoe ktk min laptop nayotumia na kupunguza RAM from 8GB to 4GB kisha anakuwekea 32GB ssd.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…