Bro,Nauza vitu vingi Boss Shark ili nipate pesa ya kutatua changamoto iliyo mbele yangu sasa kiongozi wewe umepoint hiyo receiver na kudondoshaa negative comment nimeona hujatenda haki boss.
Anyway ni Jamiii forums hii hatupangiani cha kukoment
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha za double decker
Bei ni 230k
Hii itausisha marekebisho ya uchakavu wa rangi kwenye hizo side bays
Kama kilivyo nibariki laki 2 only.View attachment 2440591View attachment 2440593View attachment 2440596
Sent using Jamii Forums mobile app
Tent bado lipo?Habari za siku nyingine tena ndugu zangu wa Jamii forums,kwangu mimi hapa ndio sehemu pekee nayotegemea kufanikisha nalopambania ambalo liko njee ya muda kutokana na kutofikiwa gharama hitajika.
Hizi items bado ninazo
Laptop hp intel core i5 7th Gen 8GB of Ram na 500GB hard disk bei 500k
Samsung laser jet printer model ML 2855ND bei 250k
Samsung Tablet 10.1' with new flip cover bei 350k
Aluminium outdoor tents kubwa lenye 100sqft bei 400k
Napatikana
Dsm-Ubungo
0713498825
Nb: ninahuitaji mkubwa wa pesa kwa haraka hivyo pamoja kwamba items nyingi nauza kwa bei ya chini lakini pia kwa muhitaji serious nione kwenye simu unachotaka tukubaliane .
View attachment 2451647View attachment 2451648View attachment 2451649View attachment 2451650View attachment 2451651
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitandaa kilishauzwaa boss.Mkuu, nilikuwa naulizia kama na vigodoro vyake kama vipo? na kama haujauza bado hiki kitanda?
Ok ila bajeti yangu finyu kidogo
Nisamehe sana mkuu wangu hakika sio wewe nimechanganya hizo username.....Naomba niwie radhi chief.Bro,
Una uhakika Mimi ndie niliekuandikia ile comment mpaka umenitaja hapa?
Acha tuzungumze Boss....nahitaji pesa .Ok ila bajeti yangu finyu kidogo