Navyojua ile barabara kuna mabonde balaa kulia na kushoto ...hakuna tambarare.Kwa Mahitaji ya Viwanja vilivyopo Kimara Korogwe barabara ya zege Kwenda Kilungule na Kwa Mkua
Wasiliana nami 0675 065906
Nina viwanja vingi vya ukubwa kuanzia sqm 400,500,700,800,1000 na kuendelea.Gharama yake ni nafuu sana.Piga simu utapewa maelekezo yote.Wote mnakaribishwa
Kwa Mahitaji ya Viwanja vilivyopo Kimara Korogwe barabara ya zege Kwenda Kilungule na Kwa Mkua
Wasiliana nami 0675 065906
Nina viwanja vingi vya ukubwa kuanzia sqm 400,500,700,800,1000 na kuendelea.Gharama yake ni nafuu sana.Piga simu utapewa maelekezo yote.Wote mnakaribishwa
Hii comment ya kidalali kabisaSio kila biashara ipo hivyo kama hujui kitu kaa kimya nayo ni busara
Watu wanauziwa viwanja kwa kipimo cha futi huko chanika wasikatwe sembuse sisi tunakupimia kwa mita kuanzia 20x20.Mkuu wewe ni mgeni nini hapa mjini?Wizara ya Ardhi haitambui kabisa hivyo vipimo vidogo mno, hivi sheria ya Ardhi ya ukomo wa viwanja vya makazi unajua kweli? Utakamatwa muda si mrefu, huwezi mpimia mtu 400 sqm hicho ni kibanda cha kuku?
SawaBei zetu kuanzia mln 18 kwa sqm 400 kwa maongezi zaidi Piga simu ndugu
Kilete mabiboMadalali wanapokea euro au dollar 💰💵
Tembelea na kigamboni uibue viwanja vilivyopo utufikie nasi wapenzi wa kigamboni.Kiwanja kinauzwa kibamba hospitali
Kina pagale la chumba kimoja na sebule.
Umbali km 1.5 mpaka site
Kina ukubwa wa 946 sqm (43*22) mita
Bei ni tsh 15m
Mawasiliano:
0675 065906
View attachment 3018877View attachment 3018878View attachment 3018879View attachment 3018880View attachment 3018881