Plot4Sale Nauza viwanja maeneo mbalimbali Dar

Itakua siku hizi mashuleni wamebadili mitaala. Kipimo cha umbali kimepewa muda badala ya mita au kilometer zilizokua zikitumika kabla
Eeh kwakweli mambo yanakwenda kasi sana mzee mwenzangu.
 
Eneo potential kama madale...umuuzie mtu kwa kigezo Cha documents za serikali ya mtaa tuu?

Hayo maeneo watu wengi wameku waoga kununua kutokana na kuwa na kesi nyingi za utapeli

Hicho kiwanja kingetafutiwa hati miliki ya wizarani kwanza ...
 
Maoni mazuri
 
NYUMBA INAUZWA MAPINGA BAGAMOYO JIRANI NA KITUO CHA POLISI,MITA 200 KUTOKA BAGAMOYO ROAD
NYUMBA IPO KWENYE ENEO LENYE 40×40
INA VYUMBA 3 KIMOJA MASTER
INA SEBULE ,DINING & KITCHEN
BEI MLN 40 MAONGEZI YAPO
INA HATI YA WIZARA
0675065906
 
NYUMBA INAUZWA KIBAHA KWA MFIPA
IPO DK 1 KUTOKA LAMI MOROGORO ROAD
INA VYUMBA 3 KIMOJA MASTER,
INA PUBLIC TOILET, SITTING,DINING &KITCHEN NA PARKING YA GARI NJE
INA FENCE YA UKUTA NA GETI ZURI
BEI MLN 55,HATI IPO
0675065906
 
Unaweza ukacheki video hizo
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Itakua siku hizi mashuleni wamebadili mitaala. Kipimo cha umbali kimepewa muda badala ya mita au kilometer zilizokua zikitumika kabla
Acheni ujuaji hata humu barabarani tunamotembea huwa tunauliza "unaweza kutumia dakika ngapi kufika? hatuulizi kilomita wala mita kama hamna cha kuchangia kaa kimya
 
Acheni ujuaji hata humu barabarani tunamotembea huwa tunauliza "unaweza kutumia dakika ngapi kufika? hatuulizi kilomita wala mita kama hamna cha kuchangia kaa kimya
Sasa dakika ngapi kwa miguu, gari, pikipiki, bajaji, kutembea polepole, haraka haraka au kukimbia?
 
Kiwanja kinauzwa Bunju B ukubwa 25x25 milion 23 tu,Kipo Mita 250 kutoka Bagamoyo Road Ni Nyuma ya Stendi Kipo mtaa nzuri tulivu.
0675065906
Your browser is not able to display this video.
 
Kiwanja kinauzwa Bunju B ukubwa 40x40 bei milion 25 pazuri ni Mita 250 kutoka Bagamoyo Road,Maongezi yapo.0675 065906
 
VIWANJA VIWANJA VIWANJA
VINAUZWA KIBAMBA

LOCATION:
KIBAMBA KIBWEGERE MWISHO
UKUBWA WA HEKA 1 ML 75

KIBAMBA LUMUMBA
-UKUBWA WA NUSU HEKA MLN 16 IPO CENTER PAMECHANGAMKA UNAWEZ A KUWEKA FREMU ZA MADUKA

-UKUBWA WA HEKA 1 NA NUSU MLN 25

-UKUBWA WA 20x20 MLN 3

PIGA SIMU
0675065906
 
ENEO LINAUZWA KILUVYA KWA MASISTA LINA UKUBWA WA HEKA 3
LINAFAA KWA UWEKEZAJI LIMEPAKANA NA BARABARA KUBWA YA MTAA INAYOELEKEA MPIGI
BEI MLN 33,MAONGEZI YAPO
0675065906
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…