Plot4Sale Nauza viwanja na nyumba maeneo mbalimbali Dar

Bahati mbaya mwenye pesa za kununua hapo Hana Muda wa kupiga kelele zote hizi mitandaoni.

Karibu tuendelee kukisifia chama tukalipwe buku 7 zetu tukanywe ulanzi na chimpumu.
Sasa hv tupo kwenye mwenge tunakula buku 5 na mbususu...waliojuu wanapanga safar ya kwenda kuhani..hakuna matata
 
Bahati mbaya mwenye pesa za kununua hapo Hana Muda wa kupiga kelele zote hizi mitandaoni.

Karibu tuendelee kukisifia chama tukalipwe buku 7 zetu tukanywe ulanzi na chimpumu.
[emoji3]
Ahsante kwa kunisaidia kumjibu mkuu [emoji1666]
 
Kama una hela nenda kaangalie eneo.acha maneno mengi.
square meter ya kiwanja haiwezi kukuzuia wewe kununua.
Ndo yale ya Elon musk na Twitter anataka aoneshwe Kuna account fake ngapi ndo anunue.
Sasa si ununue kwanza ndo uangalie mwenyewe.
Unalia nini? kiwanja cha urithi kinakua na hati kumi sio...ficha sehemu zote weka sehemu inayoonyesha sq. m za eneo hilo unalouza.....kama hakina hati, sema tu sio unapanic mkuu
 
Badilisha jina sema kiwanja kinauzwa.
Hiyo nyumba sidhani kama waliweka hata Lenta..
 
Kama una hela nenda kaangalie eneo.acha maneno mengi.
square meter ya kiwanja haiwezi kukuzuia wewe kununua.
Ndo yale ya Elon musk na Twitter anataka aoneshwe Kuna account fake ngapi ndo anunue.
Sasa si ununue kwanza ndo uangalie mwenyewe.
Fact [emoji419]
.
Yani mkuu kuna watu humu wao kazi zao ni ku-discourage kila kitu na kujifanya wajuaji wa kila jambo, inaudhi sana kwakweli.
 
Mr.Dalali kwani kiwanja kina documents ngap?..si moja tu... Piga picha hyo doc tuone imeandikwa square meter ngap

Japo mimi simjui ila namtetea kwamba hati ama documents za umiliki wa nyumba huwa hazipigwi pigwi picha ovyo na kupostiwa tu. Hizo ni nyaraka muhimu hata ndani unapoweka unaweka kwa kuficha

Yeye hauzi kiwanja tupu anauza kikiwa na nyumba. Kuhusu vipimo amesema kwenye maelezo yake ni sqm 410.

Kwa mteja ambaye anania amtafute then akaone eneo pamoja na nyaraka
 
[emoji1666]
 
Huo ni mfano wa hati..unaweza kuficha jina kama mnavyofanya kwenye kadi za magari..BTW lengo langu lilikuwa kuku-challenge tu...kiwanja cha 120m kinakosaje hati?...mteja akidhurumiwa, wewe utabaki salama?...sasa ili kuwa professional dalali inabidi uchague vitu vya kuuza ili kupata brand nzuri
 
Bwana JAMES MBEYA Nimeiona hati ya nyumba yako huko Kigamboni
.
Lakini mengine yote ulimojenga hoja zako sijakuelewa kusema ukweli [emoji848]
 
Tafuta hela upunguze maneno.
 
Ni mtaa gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…