Plot4Sale Nauza viwanja na nyumba maeneo mbalimbali Dar

Sawa
 
Mimi sio mnunuzi Ila Nina maoni , humu hamna wateja , fanya hv pigia thaman ya nyumba ambayo kimsingi Kwa thaman ya sasa haizidi 50 million , japo wakat inajengwa ilijengwa Kwa bei ya chini zaidi , pia pigia thaman ya kiwanja , kama ni km3 away from highway , kimsingi hapo thaman ya kiwanja ni 50 million , alaf ongezea na 50 million nyingine kama faida .... So hapo reasonable inatakiwa iuzwe 100-150 million...
 
Inashangaza kwakweli ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Eneo: 600 sqm

Ni hatua za kutembea 20 kutoka barabara kubwa inayotoka Magomeni kuelekea Sinza.

Nyumba imejengwa kwa chumba na sebule 4 zikiwa na block mbili zinazotazamana.

Chumba na sebule mbili zita-share choo na bafu upande wao, na block ingine inayotazamana nayo watafanya vivyo hivyo.

Siyo bondeni kwamba kunajaa maji, kumezungukwa na nyumba za kisasa mbele yake (ipo video nashindwa kui-upload hapa).

Pana nyaraka zote halali, na hakuna mgogoro wowote.

Bei: TZS. 29m

Call: 0717 650800
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…