INAUZWA Nauza Viwanja, nyumba na Mashamba Kigamboni Dar es Salaam

Nyumba ipo mjimwema mtaa kibugumo
Ina vyumba vitatu kimoja master sitting room jiko stoo na public toilet Bei milioni 65 mzungumzo yapo nicheki 0713672719

 
Kiwanja kipo kibugumo kigamboni
Kina ukubwa wa 20×14 location nzuri
Bei milioni 4 tu njoo na ofa yako
0713672719
0787672719

 
Kiwanja kina ukubwa wa sqm 523 kimeshapimwa bado kotolewa hati
tu Bei milioni 25 mazungumzo yapo
Kipo mita 400 toka barabara ya lami
Zaidi nicheki 0713672719/0787672719
 
Details za muhimu
1. kiwanja kina ukubwa gan?
2. Kina hati?
3. Maji na umeme vipo karibu?
4. Kutoka Darajani au Ferry Km ngapi?
 
Plot Ina ukubwa wa sqm 1566
Imeshafanyiwa upimaji tayari
Bei milioni 25 ipo mita 200 toka
Barabara kuu ya lami kilometers 16
Toka kivukoni mita 100 yalipo magorofa
Ya Nssf huduma zote muhimu Zina patikana
0713672719
0787672719

 
Viwanja vipo mjimwema ungindoni
Vyote viwili pamoja vina ukubwa wa
Sqm 2014 kiujumla Bei milioni 90 kwa
Vyote viwili vipo kilometers 8 toka kivukoni
Mita 300 toka lami ilipo mtaa wa kishuwa
0713672719
0687672719
 
Nyumba ipo Kibada Kigamboni
Ni ya pili kutoka barabara ya lami
Ina vyumba vinne viwili masters
Sitting room dining room jiko na public
Bei milioni 75 kiwanja kina sqm 640
Kimeshapimwa bado kutolewa hati tu
Nyumba ipo kilometers 5 kutoka darajani
Kilometers 10 kutoka kivukoni
0713672719
0787672719
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…