Maisha hayapo sawa ndivyo muumba alivyo yaweka wapo wenye uwezo wa kununua kitu kilicho pimwa kwa pesa kubwa na wapo wanao dunduliza mpaka kuipata hiyo milioni mbili sio kazi rahisi kikubwa uhalali wa hicho kinachouzwaMkubwa tangazo limeeleweka ila umesema mmekata viwanja...means havija pimwa? (Surveyed plots)
Silaha kubwa sahv ya kuuza viwanja Ni uhakika kuwa viwanja vimepimwa na kusaidia wanunuzi ku process Hati kutoka wizarani
Sent using Jamii Forums mobile app
NdioHapo si corner Stone kuelekea chekechea au nimeona vibaya
Karibu tufanye kaziIko poa