Nauza Wifi Bulb Camera

Nauza Wifi Bulb Camera

Tatizo nimekuuliza hujibu hata maswali sijui unaona si wengine sio wateja!
Picha hii mkuu
LMC_20230815_133630_'.jpg
 
Kuna wakati mazingira ya nyumbani au ofisini usipoyaelewa basi kamera ni muhimu
 
Wifi Bulb Camera Ni portable haina mambo mengi kuinstall
 
Wakuu kamera ina uwezo wa kupokea Memory card hadi 128 GB, hivyo utaweza kuona hadi video za miezi mitatu iliyopita, kabla hujahamisha kwenye kifaa kingine au kufuta ukitaka
 
Wakuu namba zangu ni hizi naomba Tuwasiliane
0718295182
0765505909
 
Wakuu mliochukua camera kuweni huru kutoa mrejesho mapungufu na ubora wa bidhaa
 
Back
Top Bottom