BANGO JEUPE
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 3,079
- 2,152
- Thread starter
- #61
Usiongee yote hayo mkuu samahani sikuona ujumbe wakoTatizo nimekuuliza hujibu hata maswali sijui unaona si wengine sio wateja!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiongee yote hayo mkuu samahani sikuona ujumbe wakoTatizo nimekuuliza hujibu hata maswali sijui unaona si wengine sio wateja!
Inatumia holder ya Bulb (Ya reli) ili ifanye kazi lazima umeme uwepoKwaiyo unatumia holder za balbu kawaida? Kama sio unaonganishaje na umeme? Ikikupendeza naomba unioneshe kwa picha.
Picha hii mkuuTatizo nimekuuliza hujibu hata maswali sijui unaona si wengine sio wateja!
Mkuu uliona ujumbe?Kwaiyo unatumia holder za balbu kawaida? Kama sio unaonganishaje na umeme? Ikikupendeza naomba unioneshe kwa picha.
Waswahili tuna tabu sana. Sasa unataka bei ya gunia la mkaa dar ifanane na ya inyonga?Bei mbn kubwa sana angalau kuagiza ali express 30k
Mfano mzuri mkuuWaswahili tuna tabu sana. Sasa unataka bei ya gunia la mkaa dar ifanane na ya inyonga?
Karibu afisa
Waswahili tuna tabu sana. Sasa unataka bei ya gunia la mkaa dar ifanane na ya inyonga?
Hapana mkuu. Ila navuruga huko mara kwa mara kwenye harakati.[emoji28]
Mkazi wa skonge wewe