Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 2,317
- 7,808
Kwa kweli...
huyo ni utoto unamsumbua pia ufahamu wake upo chiniKwa ufupi ni kwamba huyu binti tumejuana miaka kumi na moja imepita, Mimi nilikua advance yeye alikua madarasa ya chini, offcourse tumepitia vingi sana kuzinguana hapa na pale, kuna kipindi hapo kati nikaanza mitikasi ya kutafuta mke nioe, maana niliona huyu Mwanamke kama uchumba migogoro ni mingi hivi je tukioana uko itakuaje? Tokea miaka ya nyuma kiukweli sijawahi kumfumania/kuhisi yuko na mshikaji yoyote ndio maana mpaka leo tupo,
Baada ya migogoro kua Mingi nilianza kujichomoa mdogo mdogo nikapata mwanamke Mwingine (nataka nioe), tena ni wazuri tu kuliko yeye, wako smart zaidi yake japo japo hakuna perfect 100%, yule mchumba wa muda mrefu ana strength zake, pia yuko na madhaifu yake, mfano ukimwambia nikikupa million 10 ufanye biashara utafanya nini? ukimwambia akupe wazo la biashara yeye hayupo huko.
Mwaka jana mwezi wa sita nilienda mkoa aliopo, licha ya migogoro tuliyonayo nikamuita tukapasha kiporo, after three weeks akaniambia ana mimba, (siwezi kusema amenitegeshea kwasababu yeye hayo mambo ya calender hajui, na mimi baada ya sex nilimuuliza kuhusu siku zake, mara ya mwisho kuingia period nikajua hapa kitu tayari, nilikua nasubiria taarifa tu kwamba ana Mimba)... Kwahiyo alivyonambia kwamba haoni siku zake sikushtuka ni jambo nililolitegemea, nilikutana nae tarehe 14, na yeye period anaingia kila tarehe 28.
Kwasababu ni binti ninayemfahamu miaka Mingi nilijipa imani ya kwamba labda atakuja kubadilika, kwa hiyo nilimwambia akijifungua nitapeleka mahari nimuoe,
Kiukweli licha ya kua nataka akijifungua nimuoe, though naona kama siku zimefika (hajajifungua bado), lakini naona kama hatutafika popote, huyu binti yangu ana kiburi sana, anapenda mashindano, kunitafuta mpaka awe na shida ya hela hapo atapiga na kukuita majina yoyote, tofauti na hapo atakaa zake kimya, hapo mpaka umtafute naona hana time na mimi kabisa ππ, najiuliza ni mimba? Au ni nini? Tabia zake za kua na mashindano na kiburi ni tokea zamani, nikisema nijiondoe nitapigiwa simu na ukoo wake woote.
Kwa hizo harakati zake naona kabisa moyoni hayupo nilikua na mahusiano mengine, mchumba wangu niliokua nae kabla sijampa mimba huyo binti (mwenye kiburi ) anaolewa mwezi wa 4 na jamaa mwingine.
Yaani nakosa wanawake wazuri kisa huyo binti niliempa Mimba, kiukweli single mother wengine mnajitakia tu kuwa single mother, Namuonea huruma huyu binti niliempa mimba licha ya mapungufu yake yoote, lakini upande wa pili naona kabisa nakosa wanawake bora kwasababu yake yeye. Sina furaha kuwa nae kabisa, hata nikimpigia simu anaweza asipokee (sasa sijui ni mimba), sioni hata kama nikimuoa tutafurahi kama ndoa zingine zilivyo na furaha.
Najiuliza tabia ni ngozi na haiwezi kutoka, hata nikimuoa kiburi na mashindano lazima yatakuwepo tu ππ, na kumuacha awe single mother naona kama nitakua nimemkosea.
usiwe harsh ivi mkuu hahahUmekaa naye kwenye uchumba kwa miaka 10 alafu saizi ukimpigia simu mara asipokee alafu eti unawaza labda sijui ni mimba!!? Hivi una akili kweli wewe???
Kwanza una uhakika kama kweli ana mimba!? Una uhakika hiyo mimba ni ya kwako na mtu unaishi naye mbali!!
Nitakuja nikuzibue Kofi la macho ili akili zikukae sawa nyau wewe..
Tumia akili
iyo ni nyimbo fulani ivi ya jamaa wa Angola kama sikosei ndyo kuamua kutumia kama IDTatizo jina
iyo ID yako imenikumbusha mbali sana msanii wa AngolaKwa ufupi ni kwamba huyu binti tumejuana miaka kumi na moja imepita, Mimi nilikua advance yeye alikua madarasa ya chini, offcourse tumepitia vingi sana kuzinguana hapa na pale, kuna kipindi hapo kati nikaanza mitikasi ya kutafuta mke nioe, maana niliona huyu Mwanamke kama uchumba migogoro ni mingi hivi je tukioana uko itakuaje? Tokea miaka ya nyuma kiukweli sijawahi kumfumania/kuhisi yuko na mshikaji yoyote ndio maana mpaka leo tupo,
Baada ya migogoro kua Mingi nilianza kujichomoa mdogo mdogo nikapata mwanamke Mwingine (nataka nioe), tena ni wazuri tu kuliko yeye, wako smart zaidi yake japo japo hakuna perfect 100%, yule mchumba wa muda mrefu ana strength zake, pia yuko na madhaifu yake, mfano ukimwambia nikikupa million 10 ufanye biashara utafanya nini? ukimwambia akupe wazo la biashara yeye hayupo huko.
Mwaka jana mwezi wa sita nilienda mkoa aliopo, licha ya migogoro tuliyonayo nikamuita tukapasha kiporo, after three weeks akaniambia ana mimba, (siwezi kusema amenitegeshea kwasababu yeye hayo mambo ya calender hajui, na mimi baada ya sex nilimuuliza kuhusu siku zake, mara ya mwisho kuingia period nikajua hapa kitu tayari, nilikua nasubiria taarifa tu kwamba ana Mimba)... Kwahiyo alivyonambia kwamba haoni siku zake sikushtuka ni jambo nililolitegemea, nilikutana nae tarehe 14, na yeye period anaingia kila tarehe 28.
Kwasababu ni binti ninayemfahamu miaka Mingi nilijipa imani ya kwamba labda atakuja kubadilika, kwa hiyo nilimwambia akijifungua nitapeleka mahari nimuoe,
Kiukweli licha ya kua nataka akijifungua nimuoe, though naona kama siku zimefika (hajajifungua bado), lakini naona kama hatutafika popote, huyu binti yangu ana kiburi sana, anapenda mashindano, kunitafuta mpaka awe na shida ya hela hapo atapiga na kukuita majina yoyote, tofauti na hapo atakaa zake kimya, hapo mpaka umtafute naona hana time na mimi kabisa ππ, najiuliza ni mimba? Au ni nini? Tabia zake za kua na mashindano na kiburi ni tokea zamani, nikisema nijiondoe nitapigiwa simu na ukoo wake woote.
Kwa hizo harakati zake naona kabisa moyoni hayupo nilikua na mahusiano mengine, mchumba wangu niliokua nae kabla sijampa mimba huyo binti (mwenye kiburi ) anaolewa mwezi wa 4 na jamaa mwingine.
Yaani nakosa wanawake wazuri kisa huyo binti niliempa Mimba, kiukweli single mother wengine mnajitakia tu kuwa single mother, Namuonea huruma huyu binti niliempa mimba licha ya mapungufu yake yoote, lakini upande wa pili naona kabisa nakosa wanawake bora kwasababu yake yeye. Sina furaha kuwa nae kabisa, hata nikimpigia simu anaweza asipokee (sasa sijui ni mimba), sioni hata kama nikimuoa tutafurahi kama ndoa zingine zilivyo na furaha.
Najiuliza tabia ni ngozi na haiwezi kutoka, hata nikimuoa kiburi na mashindano lazima yatakuwepo tu ππ, na kumuacha awe single mother naona kama nitakua nimemkosea.
Tuko sawa aisee, wewe ni kama Mimi kabisa. πDah Nina mwanamke mmoja mzuri sana, mrembo nimemtoa Mimi bikra akiwa chuoni mwaka wa tatu,
Nimepaleka barua kwako mara ya kwanza walinitajia 4m nikataka kukimbia
Baadae binti akakaa na wazazi wake kuniombea, mpka kufika kwenye laki huko. Na wakakakubali.
Tatizo lake kubwa ni jeuri na kiburi na kushindana, Yani unaweza kumpigia simu mara 10 asipookea yeye atakupigia mara moja usipopokea imeisha iyo.
Muda akiwa na majukumu yake ya nyumbani hanaga muda wa kuchart na simu anaweza silent kabisa,
Ila akitaka kuchart na wewe atakupigia muda wowote ila yeye kumpata mpaka atake yeye mwenyewe
Kila siku nagombana nae kwa dharau na kiburi ananinyima piece of mind.
Namuone huruma kumpa aibu kwao mana wazazi wake walikuwa hawanikubali ila yeye alisema tunapendana.
Naona kabisa hatuwezi kufika mbali kwenye ndoa kwasababu ya kiburi na jeurii yake ya kila siku.
Na Mimi nifanyeje Sasa kaka
Kweli 100%, naliona Ilo pia.huyo ni utoto unamsumbua pia ufahamu wake upo chini
Kwani hiyo miaka yoote 11 mlikuwa manaishije kwenye mawasiliano? Yaan mawasiliano tu yafanye usioe binti wa watu amekuvumilia muda wote huo umuweke mimba afu umuache ndo maana mnarogwa mnaokota makopo.Kwa ufupi ni kwamba huyu binti tumejuana miaka kumi na moja imepita, Mimi nilikua advance yeye alikua madarasa ya chini, offcourse tumepitia vingi sana kuzinguana hapa na pale, kuna kipindi hapo kati nikaanza mitikasi ya kutafuta mke nioe, maana niliona huyu Mwanamke kama uchumba migogoro ni mingi hivi je tukioana uko itakuaje? Tokea miaka ya nyuma kiukweli sijawahi kumfumania/kuhisi yuko na mshikaji yoyote ndio maana mpaka leo tupo,
Baada ya migogoro kua Mingi nilianza kujichomoa mdogo mdogo nikapata mwanamke Mwingine (nataka nioe), tena ni wazuri tu kuliko yeye, wako smart zaidi yake japo japo hakuna perfect 100%, yule mchumba wa muda mrefu ana strength zake, pia yuko na madhaifu yake, mfano ukimwambia nikikupa million 10 ufanye biashara utafanya nini? ukimwambia akupe wazo la biashara yeye hayupo huko.
Mwaka jana mwezi wa sita nilienda mkoa aliopo, licha ya migogoro tuliyonayo nikamuita tukapasha kiporo, after three weeks akaniambia ana mimba, (siwezi kusema amenitegeshea kwasababu yeye hayo mambo ya calender hajui, na mimi baada ya sex nilimuuliza kuhusu siku zake, mara ya mwisho kuingia period nikajua hapa kitu tayari, nilikua nasubiria taarifa tu kwamba ana Mimba)... Kwahiyo alivyonambia kwamba haoni siku zake sikushtuka ni jambo nililolitegemea, nilikutana nae tarehe 14, na yeye period anaingia kila tarehe 28.
Kwasababu ni binti ninayemfahamu miaka Mingi nilijipa imani ya kwamba labda atakuja kubadilika, kwa hiyo nilimwambia akijifungua nitapeleka mahari nimuoe,
Kiukweli licha ya kua nataka akijifungua nimuoe, though naona kama siku zimefika (hajajifungua bado), lakini naona kama hatutafika popote, huyu binti yangu ana kiburi sana, anapenda mashindano, kunitafuta mpaka awe na shida ya hela hapo atapiga na kukuita majina yoyote, tofauti na hapo atakaa zake kimya, hapo mpaka umtafute naona hana time na mimi kabisa ππ, najiuliza ni mimba? Au ni nini? Tabia zake za kua na mashindano na kiburi ni tokea zamani, nikisema nijiondoe nitapigiwa simu na ukoo wake woote.
Kwa hizo harakati zake naona kabisa moyoni hayupo nilikua na mahusiano mengine, mchumba wangu niliokua nae kabla sijampa mimba huyo binti (mwenye kiburi ) anaolewa mwezi wa 4 na jamaa mwingine.
Yaani nakosa wanawake wazuri kisa huyo binti niliempa Mimba, kiukweli single mother wengine mnajitakia tu kuwa single mother, Namuonea huruma huyu binti niliempa mimba licha ya mapungufu yake yoote, lakini upande wa pili naona kabisa nakosa wanawake bora kwasababu yake yeye. Sina furaha kuwa nae kabisa, hata nikimpigia simu anaweza asipokee (sasa sijui ni mimba), sioni hata kama nikimuoa tutafurahi kama ndoa zingine zilivyo na furaha.
Najiuliza tabia ni ngozi na haiwezi kutoka, hata nikimuoa kiburi na mashindano lazima yatakuwepo tu ππ, na kumuacha awe single mother naona kama nitakua nimemkosea.
binafsi nipo na kidemu cha namna iyo form four leaver jeuri sana hakinitafti ila hakiishi kunambya nakupenda pia nakuniulza kama nakipenda kweli au nakidanganya TU afu ukizingatia hakipo buzy ila jeuri TUKweli 100%, naliona Ilo pia.