Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 2,317
- 7,808
- Thread starter
- #21
iyo ID yako imenikumbusha mbali sana msanii wa Angola
iyo ID yako imenikumbusha mbali sana msanii wa Angola
Shida uliBargain hadi mahari.. kwann asikupande kichwani?!Dah Nina mwanamke mmoja mzuri sana, mrembo nimemtoa Mimi bikra akiwa chuoni mwaka wa tatu,
Nimepaleka barua kwako mara ya kwanza walinitajia 4m nikataka kukimbia
Baadae binti akakaa na wazazi wake kuniombea, mpka kufika kwenye laki huko. Na wakakakubali.
Tatizo lake kubwa ni jeuri na kiburi na kushindana, Yani unaweza kumpigia simu mara 10 asipookea yeye atakupigia mara moja usipopokea imeisha iyo.
Muda akiwa na majukumu yake ya nyumbani hanaga muda wa kuchart na simu anaweza silent kabisa,
Ila akitaka kuchart na wewe atakupigia muda wowote ila yeye kumpata mpaka atake yeye mwenyewe
Kila siku nagombana nae kwa dharau na kiburi ananinyima piece of mind.
Namuone huruma kumpa aibu kwao mana wazazi wake walikuwa hawanikubali ila yeye alisema tunapendana.
Naona kabisa hatuwezi kufika mbali kwenye ndoa kwasababu ya kiburi na jeurii yake ya kila siku.
Na Mimi nifanyeje Sasa kaka
Hivi unawezaje kumletea madharau, jeuri, kiburi Mtu ambaye unataka akuoe? Ety kisa mmekaa miaka 11, huyu binti mwingine ambae anaolewa mwezi wa 4, nimekaa nae kwenye mahusiano miezi 12, sijawai kugombana nae kwa lolote maskini, ndio maana baada ya kuachana nae tu, kapata mchumba ambae kaamua kufunga nae ndoa.Kwani hiyo miaka yoote 11 mlikuwa manaishije kwenye mawasiliano? Yaan mawasiliano tu yafanye usioe binti wa watu amekuvumilia muda wote huo umuweke mimba afu umuache ndo maana mnarogwa mnaokota makopo.
Alafu unaweza ukasema unakosa wanawake wazuri kisa huyo mdada kumbe na wewe una mapungufu yako yanajaa kisado wanavumilia tu. Jifunze maisha ya kuvumiliana hata wewe HAUJAKAMILIKA
Haha dahiyo ni nyimbo fulani ivi ya jamaa wa Angola kama sikosei ndyo kuamua kutumia kama ID
Daah,,mimi nataka huyo wa Aina hiyo...hivi kumbe mnapenda kupigiwa simu kuchsrt ni ungese mwingi km huo...I don't like for sure,Dah Nina mwanamke mmoja mzuri sana, mrembo nimemtoa Mimi bikra akiwa chuoni mwaka wa tatu,
Nimepaleka barua kwako mara ya kwanza walinitajia 4m nikataka kukimbia
Baadae binti akakaa na wazazi wake kuniombea, mpka kufika kwenye laki huko. Na wakakakubali.
Tatizo lake kubwa ni jeuri na kiburi na kushindana, Yani unaweza kumpigia simu mara 10 asipookea yeye atakupigia mara moja usipopokea imeisha iyo.
Muda akiwa na majukumu yake ya nyumbani hanaga muda wa kuchart na simu anaweza silent kabisa,
Ila akitaka kuchart na wewe atakupigia muda wowote ila yeye kumpata mpaka atake yeye mwenyewe
Kila siku nagombana nae kwa dharau na kiburi ananinyima piece of mind.
Namuone huruma kumpa aibu kwao mana wazazi wake walikuwa hawanikubali ila yeye alisema tunapendana.
Naona kabisa hatuwezi kufika mbali kwenye ndoa kwasababu ya kiburi na jeurii yake ya kila siku.
Na Mimi nifanyeje Sasa kaka
Miezi 12 ya mahusiano ni michache, alafu tambu aso hili ana lile, naye mngekaa muda mapungufu yake ungeyaona tu, pia tabia ya mtu ni kama rangi ya ngozi huwe kuibadili huyo unayemuita mchumba ndiyo yuko hivo kwenye mawasiliano huwezi mlazimisha ashoboke zaidi kisa ana mimba au anataka umuoe. Angalia utachagua saaan mwisho wa siku utabaki kusema huna bahati ya kupata mkeHivi unawezaje kumletea madharau, jeuri, kiburi Mtu ambaye unataka akuoe? Ety kisa mmekaa miaka 11, huyu binti mwingine ambae anaolewa mwezi wa 4, nimekaa nae kwenye mahusiano miezi 12, sijawai kugombana nae kwa lolote maskini, ndio maana baada ya kuachana nae tu, kapata mchumba ambae kaamua kufunga nae ndoa.
😂😂😂😂Umekaa naye kwenye uchumba kwa miaka 10 alafu saizi ukimpigia simu mara asipokee alafu eti unawaza labda sijui ni mimba!!? Hivi una akili kweli wewe???
Kwanza una uhakika kama kweli ana mimba!? Una uhakika hiyo mimba ni ya kwako na mtu unaishi naye mbali!!
Nitakuja nikuzibue Kofi la macho ili akili zikukae sawa nyau wewe..
Tumia akili
Sasa unakaa naye wa nini kwani kishakuonyesha kila dalili ya kutokuwıa naye.Kwa ufupi ni kwamba huyu binti tumejuana miaka kumi na moja imepita, Mimi nilikua advance yeye alikua madarasa ya chini, offcourse tumepitia vingi sana kuzinguana hapa na pale, kuna kipindi hapo kati nikaanza mitikasi ya kutafuta mke nioe, maana niliona huyu Mwanamke kama uchumba migogoro ni mingi hivi je tukioana uko itakuaje? Tokea miaka ya nyuma kiukweli sijawahi kumfumania/kuhisi yuko na mshikaji yoyote ndio maana mpaka leo tupo,
Baada ya migogoro kua Mingi nilianza kujichomoa mdogo mdogo nikapata mwanamke Mwingine (nataka nioe), tena ni wazuri tu kuliko yeye, wako smart zaidi yake japo japo hakuna perfect 100%, yule mchumba wa muda mrefu ana strength zake, pia yuko na madhaifu yake, mfano ukimwambia nikikupa million 10 ufanye biashara utafanya nini? ukimwambia akupe wazo la biashara yeye hayupo huko.
Mwaka jana mwezi wa sita nilienda mkoa aliopo, licha ya migogoro tuliyonayo nikamuita tukapasha kiporo, after three weeks akaniambia ana mimba, (siwezi kusema amenitegeshea kwasababu yeye hayo mambo ya calender hajui, na mimi baada ya sex nilimuuliza kuhusu siku zake, mara ya mwisho kuingia period nikajua hapa kitu tayari, nilikua nasubiria taarifa tu kwamba ana Mimba)... Kwahiyo alivyonambia kwamba haoni siku zake sikushtuka ni jambo nililolitegemea, nilikutana nae tarehe 14, na yeye period anaingia kila tarehe 28.
Kwasababu ni binti ninayemfahamu miaka Mingi nilijipa imani ya kwamba labda atakuja kubadilika, kwa hiyo nilimwambia akijifungua nitapeleka mahari nimuoe,
Kiukweli licha ya kua nataka akijifungua nimuoe, though naona kama siku zimefika (hajajifungua bado), lakini naona kama hatutafika popote, huyu binti yangu ana kiburi sana, anapenda mashindano, kunitafuta mpaka awe na shida ya hela hapo atapiga na kukuita majina yoyote, tofauti na hapo atakaa zake kimya, hapo mpaka umtafute naona hana time na mimi kabisa 😁😁, najiuliza ni mimba? Au ni nini? Tabia zake za kua na mashindano na kiburi ni tokea zamani, nikisema nijiondoe nitapigiwa simu na ukoo wake woote.
Kwa hizo harakati zake naona kabisa moyoni hayupo nilikua na mahusiano mengine, mchumba wangu niliokua nae kabla sijampa mimba huyo binti (mwenye kiburi ) anaolewa mwezi wa 4 na jamaa mwingine.
Yaani nakosa wanawake wazuri kisa huyo binti niliempa Mimba, kiukweli single mother wengine mnajitakia tu kuwa single mother, Namuonea huruma huyu binti niliempa mimba licha ya mapungufu yake yoote, lakini upande wa pili naona kabisa nakosa wanawake bora kwasababu yake yeye. Sina furaha kuwa nae kabisa, hata nikimpigia simu anaweza asipokee (sasa sijui ni mimba), sioni hata kama nikimuoa tutafurahi kama ndoa zingine zilivyo na furaha.
Najiuliza tabia ni ngozi na haiwezi kutoka, hata nikimuoa kiburi na mashindano lazima yatakuwepo tu 😁😁, na kumuacha awe single mother naona kama nitakua nimemkosea.
sioni hata kama nikimuoa tutafurahi kama ndoa zingine zilivyo na furaha.
Nyie wakuu mapenzi na huruma havikai pamoja, usiwe na mtu kwa sababu unamuonea huruma, kuna siku hiyo huruma itaisha. Fanyeni maamuzi yenye tija kwa ajili ya future zenu acheni huruma.Dah Nina mwanamke mmoja mzuri sana, mrembo nimemtoa Mimi bikra akiwa chuoni mwaka wa tatu,
Nimepaleka barua kwako mara ya kwanza walinitajia 4m nikataka kukimbia
Baadae binti akakaa na wazazi wake kuniombea, mpka kufika kwenye laki huko. Na wakakakubali.
Tatizo lake kubwa ni jeuri na kiburi na kushindana, Yani unaweza kumpigia simu mara 10 asipookea yeye atakupigia mara moja usipopokea imeisha iyo.
Muda akiwa na majukumu yake ya nyumbani hanaga muda wa kuchart na simu anaweza silent kabisa,
Ila akitaka kuchart na wewe atakupigia muda wowote ila yeye kumpata mpaka atake yeye mwenyewe
Kila siku nagombana nae kwa dharau na kiburi ananinyima piece of mind.
Namuone huruma kumpa aibu kwao mana wazazi wake walikuwa hawanikubali ila yeye alisema tunapendana.
Naona kabisa hatuwezi kufika mbali kwenye ndoa kwasababu ya kiburi na jeurii yake ya kila siku.
Na Mimi nifanyeje Sasa kaka
😂 kabla hajapigwa na hilo penzi lake anastahili kipigo cha wadau, kaacha mwanamke mwingine mzuri kisa fimbo ya mbali isiyoeleweka.Umekaa naye kwenye uchumba kwa miaka 10 alafu saizi ukimpigia simu mara asipokee alafu eti unawaza labda sijui ni mimba!!? Hivi una akili kweli wewe???
Kwanza una uhakika kama kweli ana mimba!? Una uhakika hiyo mimba ni ya kwako na mtu unaishi naye mbali!!
Nitakuja nikuzibue Kofi la macho ili akili zikukae sawa nyau wewe..
Tumia akili
Unamshaurije mwanaume mwenzio sasa??
Sema haki ya nani...
Hakiii tena. Nyapu zimejaaa yanini kunga'ang'ania huyoo banaaa😊😁😁Sema haki ya nani...
Wewe unaweza...Hakiii tena. Nyapu zimejaaa yanini kunga'ang'ania huyoo banaaa😊😁😁
Inawahuu wanaume hiii mi naingiaje hapoo weeeh??? Mwanamke akijifanya hana time naweee weeee piga chini vuta mwingine 😁Wewe unaweza...
Hapa ndo uanamke wako unadhihirika, watoto Lutu waliikuwa hawajui mumeo(kwa majibu wa baba yao) ila walijua *Leo tukimpa ugimbi akilewa tutapata mimba akitukaza" yaani kalenda walijua.(siwezi kusema amenitegeshea kwasababu yeye hayo mambo ya calender hajui