Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 179,428
- 197,153
Nipotezee kidogo alafu tuone inakuaje...Inawahuu wanaume hiii mi naingiaje hapoo weeeh??? Mwanamke akijifanya hana time naweee weeee piga chini vuta mwingine 😁

Kumbe una multiple choices, kwa nini uchaguliwe kati ya hao, you know them well, sisi hatuwajuiKwa ufupi ni kwamba huyu binti tumejuana miaka kumi na moja imepita, Mimi nilikua advance yeye alikua madarasa ya chini, offcourse tumepitia vingi sana kuzinguana hapa na pale, kuna kipindi hapo kati nikaanza mitikasi ya kutafuta mke nioe, maana niliona huyu Mwanamke kama uchumba migogoro ni mingi hivi je tukioana uko itakuaje? Tokea miaka ya nyuma kiukweli sijawahi kumfumania/kuhisi yuko na mshikaji yoyote ndio maana mpaka leo tupo,
Baada ya migogoro kua Mingi nilianza kujichomoa mdogo mdogo nikapata mwanamke Mwingine (nataka nioe), tena ni wazuri tu kuliko yeye, wako smart zaidi yake japo japo hakuna perfect 100%, yule mchumba wa muda mrefu ana strength zake, pia yuko na madhaifu yake, mfano ukimwambia nikikupa million 10 ufanye biashara utafanya nini? ukimwambia akupe wazo la biashara yeye hayupo huko.
Mwaka jana mwezi wa sita nilienda mkoa aliopo, licha ya migogoro tuliyonayo nikamuita tukapasha kiporo, after three weeks akaniambia ana mimba, (siwezi kusema amenitegeshea kwasababu yeye hayo mambo ya calender hajui, na mimi baada ya sex nilimuuliza kuhusu siku zake, mara ya mwisho kuingia period nikajua hapa kitu tayari, nilikua nasubiria taarifa tu kwamba ana Mimba)... Kwahiyo alivyonambia kwamba haoni siku zake sikushtuka ni jambo nililolitegemea, nilikutana nae tarehe 14, na yeye period anaingia kila tarehe 28.
Kwasababu ni binti ninayemfahamu miaka Mingi nilijipa imani ya kwamba labda atakuja kubadilika, kwa hiyo nilimwambia akijifungua nitapeleka mahari nimuoe,
Kiukweli licha ya kua nataka akijifungua nimuoe, though naona kama siku zimefika (hajajifungua bado), lakini naona kama hatutafika popote, huyu binti yangu ana kiburi sana, anapenda mashindano, kunitafuta mpaka awe na shida ya hela hapo atapiga na kukuita majina yoyote, tofauti na hapo atakaa zake kimya, hapo mpaka umtafute naona hana time na mimi kabisa 😁😁, najiuliza ni mimba? Au ni nini? Tabia zake za kua na mashindano na kiburi ni tokea zamani, nikisema nijiondoe nitapigiwa simu na ukoo wake woote.
Kwa hizo harakati zake naona kabisa moyoni hayupo nilikua na mahusiano mengine, mchumba wangu niliokua nae kabla sijampa mimba huyo binti (mwenye kiburi ) anaolewa mwezi wa 4 na jamaa mwingine.
Yaani nakosa wanawake wazuri kisa huyo binti niliempa Mimba, kiukweli single mother wengine mnajitakia tu kuwa single mother, Namuonea huruma huyu binti niliempa mimba licha ya mapungufu yake yoote, lakini upande wa pili naona kabisa nakosa wanawake bora kwasababu yake yeye. Sina furaha kuwa nae kabisa, hata nikimpigia simu anaweza asipokee (sasa sijui ni mimba), sioni hata kama nikimuoa tutafurahi kama ndoa zingine zilivyo na furaha.
Najiuliza tabia ni ngozi na haiwezi kutoka, hata nikimuoa kiburi na mashindano lazima yatakuwepo tu 😁😁, na kumuacha awe single mother naona kama nitakua nimemkosea.
Nyie thubutuniiiii Nawaondoa nyote wawili vikojoleoo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😁Nipotezee kidogo alafu tuone inakuaje...
Dah!! Natishiwa maisha huku... heheheNyie thubutuniiiii Nawaondoa nyote wawili vikojoleoo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😁
Mke wa mtoa mada atakua ana mtu anayempa attention
Wee jizime data tu😁Dah!! Natishiwa maisha huku... hehehe
Mpaka hapoKwa ufupi ni kwamba huyu binti tumejuana miaka kumi na moja imepita, Mimi nilikua advance yeye alikua madarasa ya chini, offcourse tumepitia vingi sana kuzinguana hapa na pale, kuna kipindi hapo kati nikaanza mitikasi ya kutafuta mke nioe, maana niliona huyu Mwanamke kama uchumba migogoro ni mingi hivi je tukioana uko itakuaje? Tokea miaka ya nyuma kiukweli sijawahi kumfumania/kuhisi yuko na mshikaji yoyote ndio maana mpaka leo tupo,
Baada ya migogoro kua Mingi nilianza kujichomoa mdogo mdogo nikapata mwanamke Mwingine (nataka nioe), tena ni wazuri tu kuliko yeye, wako smart zaidi yake japo japo hakuna perfect 100%, yule mchumba wa muda mrefu ana strength zake, pia yuko na madhaifu yake, mfano ukimwambia nikikupa million 10 ufanye biashara utafanya nini? ukimwambia akupe wazo la biashara yeye hayupo huko.
Mwaka jana mwezi wa sita nilienda mkoa aliopo, licha ya migogoro tuliyonayo nikamuita tukapasha kiporo, after three weeks akaniambia ana mimba, (siwezi kusema amenitegeshea kwasababu yeye hayo mambo ya calender hajui, na mimi baada ya sex nilimuuliza kuhusu siku zake, mara ya mwisho kuingia period nikajua hapa kitu tayari, nilikua nasubiria taarifa tu kwamba ana Mimba)... Kwahiyo alivyonambia kwamba haoni siku zake sikushtuka ni jambo nililolitegemea, nilikutana nae tarehe 14, na yeye period anaingia kila tarehe 28.
Kwasababu ni binti ninayemfahamu miaka Mingi nilijipa imani ya kwamba labda atakuja kubadilika, kwa hiyo nilimwambia akijifungua nitapeleka mahari nimuoe,
Kiukweli licha ya kua nataka akijifungua nimuoe, though naona kama siku zimefika (hajajifungua bado), lakini naona kama hatutafika popote, huyu binti yangu ana kiburi sana, anapenda mashindano, kunitafuta mpaka awe na shida ya hela hapo atapiga na kukuita majina yoyote, tofauti na hapo atakaa zake kimya, hapo mpaka umtafute naona hana time na mimi kabisa 😁😁, najiuliza ni mimba? Au ni nini? Tabia zake za kua na mashindano na kiburi ni tokea zamani, nikisema nijiondoe nitapigiwa simu na ukoo wake woote.
Kwa hizo harakati zake naona kabisa moyoni hayupo nilikua na mahusiano mengine, mchumba wangu niliokua nae kabla sijampa mimba huyo binti (mwenye kiburi ) anaolewa mwezi wa 4 na jamaa mwingine.
Yaani nakosa wanawake wazuri kisa huyo binti niliempa Mimba, kiukweli single mother wengine mnajitakia tu kuwa single mother, Namuonea huruma huyu binti niliempa mimba licha ya mapungufu yake yoote, lakini upande wa pili naona kabisa nakosa wanawake bora kwasababu yake yeye. Sina furaha kuwa nae kabisa, hata nikimpigia simu anaweza asipokee (sasa sijui ni mimba), sioni hata kama nikimuoa tutafurahi kama ndoa zingine zilivyo na furaha.
Najiuliza tabia ni ngozi na haiwezi kutoka, hata nikimuoa kiburi na mashindano lazima yatakuwepo tu 😁😁, na kumuacha awe single mother naona kama nitakua nimemkosea.
Acha ujinga, oa huyo binti. Hizo tabia ulikua unazijua tangu kitambo, iweje umuite mpashe kiporo huku unajua anatabia mbaya?? Hakuna mimba ya bahati mbaya, hakikisha unaoa huyo binti. Naona unajizungusha zungusha mara ooh nakosa wanawake wa maana kisa huyu binti, nyambafu, unataka umwache awe single mother?? AalahKwa ufupi ni kwamba huyu binti tumejuana miaka kumi na moja imepita, Mimi nilikua advance yeye alikua madarasa ya chini, offcourse tumepitia vingi sana kuzinguana hapa na pale, kuna kipindi hapo kati nikaanza mitikasi ya kutafuta mke nioe, maana niliona huyu Mwanamke kama uchumba migogoro ni mingi hivi je tukioana uko itakuaje? Tokea miaka ya nyuma kiukweli sijawahi kumfumania/kuhisi yuko na mshikaji yoyote ndio maana mpaka leo tupo,