Navukaje hapa? Huyu mke mtarajiwa hana muda na mimi kabisa

Shida uliBargain hadi mahari.. kwann asikupande kichwani?!
 
Hivi unawezaje kumletea madharau, jeuri, kiburi Mtu ambaye unataka akuoe? Ety kisa mmekaa miaka 11, huyu binti mwingine ambae anaolewa mwezi wa 4, nimekaa nae kwenye mahusiano miezi 12, sijawai kugombana nae kwa lolote maskini, ndio maana baada ya kuachana nae tu, kapata mchumba ambae kaamua kufunga nae ndoa.
 
Daah,,mimi nataka huyo wa Aina hiyo...hivi kumbe mnapenda kupigiwa simu kuchsrt ni ungese mwingi km huo...I don't like for sure,
 
Miezi 12 ya mahusiano ni michache, alafu tambu aso hili ana lile, naye mngekaa muda mapungufu yake ungeyaona tu, pia tabia ya mtu ni kama rangi ya ngozi huwe kuibadili huyo unayemuita mchumba ndiyo yuko hivo kwenye mawasiliano huwezi mlazimisha ashoboke zaidi kisa ana mimba au anataka umuoe. Angalia utachagua saaan mwisho wa siku utabaki kusema huna bahati ya kupata mke
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Sasa unakaa naye wa nini kwani kishakuonyesha kila dalili ya kutokuwฤฑa naye.
 
Nyie wakuu mapenzi na huruma havikai pamoja, usiwe na mtu kwa sababu unamuonea huruma, kuna siku hiyo huruma itaisha. Fanyeni maamuzi yenye tija kwa ajili ya future zenu acheni huruma.
 
๐Ÿ˜‚ kabla hajapigwa na hilo penzi lake anastahili kipigo cha wadau, kaacha mwanamke mwingine mzuri kisa fimbo ya mbali isiyoeleweka.
 
(siwezi kusema amenitegeshea kwasababu yeye hayo mambo ya calender hajui
Hapa ndo uanamke wako unadhihirika, watoto Lutu waliikuwa hawajui mumeo(kwa majibu wa baba yao) ila walijua *Leo tukimpa ugimbi akilewa tutapata mimba akitukaza" yaani kalenda walijua.

Msijiite wanaume ilhali nyie ni wavulana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ