Navukaje hapa? Huyu mke mtarajiwa hana muda na mimi kabisa

Kumbe una multiple choices, kwa nini uchaguliwe kati ya hao, you know them well, sisi hatuwajui
 
Nipotezee kidogo alafu tuone inakuaje...
Nyie thubutuniiiii Nawaondoa nyote wawili vikojoleoo🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣😁

Mke wa mtoa mada atakua ana mtu anayempa attention
 
Nyie thubutuniiiii Nawaondoa nyote wawili vikojoleoo🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣😁

Mke wa mtoa mada atakua ana mtu anayempa attention
Dah!! Natishiwa maisha huku... hehehe
 
Mpaka hapo

KATAA NDOA 3_ WANANDOA 0
 
Acha ujinga, oa huyo binti. Hizo tabia ulikua unazijua tangu kitambo, iweje umuite mpashe kiporo huku unajua anatabia mbaya?? Hakuna mimba ya bahati mbaya, hakikisha unaoa huyo binti. Naona unajizungusha zungusha mara ooh nakosa wanawake wa maana kisa huyu binti, nyambafu, unataka umwache awe single mother?? Aalah
 
Wewe unakiri kuwa mwanamke hana time na wewe sasa untaka tuukushauri nini tena hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…