Navuta picha baadhi ya member humu JF watafananaje siku nikikutana nao

Miss Natafuta ulijichanganya humu wengi wao wanawinda watu ukiwapa tu namba unaanza fatiliwa ogopa Sana haya mabandiko
nauza vitu kwa mawasiliano zaidi njoo pm hapa Kila atakaeenda pm atapewa namba tofauti ili ukimtafuta akugundue
naunganisha vifurushi Njoo pm kwa uduma
natafuta mchumba hapa ndo balaa maana wengi wanajichanganya
ni hayo tu
 
Yapi?
 
Huku sijaona mtu anayeongelea mambo ya kula kula sana, wengi naona wanaongelea migegedo na siasa za wenye frustration

Kwahiyo nina assume wengi huku ni wembamba tu, hakuna charinenee kama mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…