wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Ni chama Cha wachaga kutoka Chato.Dhiaka ipo wapi, kwani Chadema sio chama cha wachaga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni chama Cha wachaga kutoka Chato.Dhiaka ipo wapi, kwani Chadema sio chama cha wachaga?
Karibu sana kwenye demokrasia.1- Je, CHADEMA Ina amini katika FALSAFA za Mwalimu Nyerere ?
2- Ni upi msimamo was CHADEMA kuhusu Mahakama ya KADHI?
3- Ni upi msimamo wa CHADEMA kuhusu HALI YA MUUNGANO?
- Wanaunga mkono serikali TATU, MBILI, MOJA, MKATABA au KUVUNJA Muungano?
4- Je, CHADEMA Wana amini kipi kuhusu SOKO HURIA?
Je, Serikali iwe inafanya UDHIBITI wa Wafanyabiashara I'll wasiwe wanapandisha Bei za bidhaa na HUDUMA kwa.kuwapangia Bei ya bidhaa au wawache huru Wafanyabiashara SOKO LIAMUE?
5- CHADEMA Wana msimamo gani katika MASLAHI YA WANASIASA vs WANA TAALUMA?
6- Je,. CHADEMA wanaamini MFUMO wetu wa UWAKILISHI wa Wanawake kupitia VITI MAALUM Ni SAHIHI?
Ahsante
Viongozi wote juu ni wachaga, huwezi kukuta msambaa au mmakonde.Ni chama Cha wachaga kutoka Chato.
Ni kweli na ndio maana Chadema wapendekeza Kisukuma kiwe Ni lugha ya Taifa.Viongozi wote juu ni wachaga, huwezi kukuta msambaa au mmakonde.