Mwanadiplomasia Mahiri JF-Expert Member Joined Nov 4, 2019 Posts 491 Reaction score 1,907 Aug 23, 2023 #1 Nimekuwa nikuvutiwa na utendaji kazi wa Tabia Mwita ambaye ni Waziri wa Michezo katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Nilikuwa sijui kama majina ya bara siku hizi yamejaa huko visiwani?
Nimekuwa nikuvutiwa na utendaji kazi wa Tabia Mwita ambaye ni Waziri wa Michezo katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Nilikuwa sijui kama majina ya bara siku hizi yamejaa huko visiwani?
Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 15,954 Reaction score 35,415 Aug 23, 2023 #2 Walibana sasa wameachia, pesa mwanaharamu sana.
SACO JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 2,623 Reaction score 3,397 Aug 23, 2023 #3 Zanzibar haina mwenyewe kule kuna waarabu, wahindi, wasukuma, wakurya, wanyamwezi, washiraz na wengine wengi
Zanzibar haina mwenyewe kule kuna waarabu, wahindi, wasukuma, wakurya, wanyamwezi, washiraz na wengine wengi
W WhoWeBe JF-Expert Member Joined Dec 18, 2022 Posts 2,299 Reaction score 4,282 Aug 23, 2023 #4 Vishu Mtata said: Walibana sasa wameachia, pesa mwanaharamu sana. Click to expand... Disco kaingia mmasai!!!!
Vishu Mtata said: Walibana sasa wameachia, pesa mwanaharamu sana. Click to expand... Disco kaingia mmasai!!!!
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 20,419 Reaction score 39,217 Aug 23, 2023 #5 Asilimia kubwa ya wazenji ni wanyamwezi na wamanyema walio lowea huko enzi za utumwa.