luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Binafsi siamini iv unajua kwa umri wa miaka 40 Tz ni.mwanmamke kachoka yaan tayari ana vitoto ata vitano !! Ss ww ka kijana hapo sawa una tembea na maza wako embu at least ungesema 30-39 sababu huu ndio umri ambao ukikuta mdada hajaolewa bac mara nyingi wao hukumba hata vijana vya umri wa miaka 25