Navutiwa sana na Nifah

Navutiwa sana na Nifah

Tatizo hutaki kunipa ridhaa na sisi tukaishangaza Jf toka lini mond anakufuatilia ww umemchunia? Sawa tu
[emoji16] [emoji16] [emoji16] nimeenda likizo mda mfupi tu nakuta watu wamejimilikisha nipo natunga sheria kwanza!!
 
Weka Link Hapa Faster. Team Kiba Mwenzangu. Team Korea Mwenzangu Huyo,Ila Naona General The Bold From Baekje Kabeba Mzigo Wakat Mie Niko Ktk Mission Huko Goguryeo,Damn!

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nyie mnaojifanya mnapenda sana nchi mnabebewaga hadi basi
 
"......nikakufahamu kwa sura kabla ya hapo nilikuchukulia utakua mbovu manake mademu wenye akili wengi ni WABOVU kama MIMI kumbe tofauti ww ni PINI aloo"

Mkuu samahani wewe ni ME au KE???
 
Wanaume tunapungua kwa kasinya ajabu.
Kadri siku zinasonga naona Wanaume tunapungua
 
"......nikakufahamu kwa sura kabla ya hapo nilikuchukulia utakua mbovu manake mademu wenye akili wengi ni WABOVU kama MIMI kumbe tofauti ww ni PINI aloo"

Mkuu samahani wewe ni ME au KE???
MEKE
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nifar nijembe.. hasa kwa Lowassa vijana wa Lumumba wanaujua mziki wake..
 
"......nikakufahamu kwa sura kabla ya hapo nilikuchukulia utakua mbovu manake mademu wenye akili wengi ni WABOVU kama MIMI kumbe tofauti ww ni PINI aloo"

Mkuu samahani wewe ni ME au KE???

mkuu thread ina uhusiano na jinsia....halafu ww ukiwaga wa katikati kucomment huaga unachanganikiwa......
 
Back
Top Bottom