Navyoona si Bashiru si Polepole hawana nguvu tena, wanagugumia tu

Kosa lake kubwa kuwaumbua mafisadi waliokuwa CCM. Kama si credit
 
Usifurahi juu yangu, ewe adui yangu.. Niangukapo mimi, nitasimama tena

Alisikika muimbaji wa nyimbo za injili akiimba
Potelea mbali
Hata wao tulipoanguka walifurahi, enzi zile Bashiru anapiga piga kifua anasema Chama Tawala kitatumia dola kubaki madarakani, alaf Serikali itakutumia mabilioni kuendesha uchaguzi ambao mshindi anajulikana

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wagombea wa vyama pinzani zaidi 98% hawakujua namna ya kujaza fomu hivyo wakawa disqualified.

Ila nyie Mungu amejua kutufurahisha, babaaa umejua kunifurahishaaaa babaaaa.... alisikika muimbaji wa nyimbo za injili[emoji1787][emoji1787]
 
Aliyeko juu mngojee chini.
 
Power za hao jamaa zilitoka from above, from the powers that be.

Walikuwa hawana mass support toka CCM wala wananchi wa kawaida.
Power iliyowateua haipo, hivyo relevance yao haipo.
Hawatetewi na CCM wala wananchi
Hao ni mayatima wa kisiasa.
 
Huu uzi umeuandika ukiwa uwanja wa fisi na kombe lako la gongo mkononi, au ulikuwa msalani unakata gogo huku unaandika yanayokujia kichwani kwako? Maana hakuna anaeelewa ulichoandika hapa
Bashiru vp tulia... Mbona Mimi nimeuelewa uzi
 
Kutesa kwa zamu. Wamekula maisha sana Hawa wacha wapumzike na wengine waingie. Hata akina Makamba walikula maisha enzi ya mkwere, akina mramba na Yona walikula maisha kwa uncle Ben na kina warioba na Bujiku walikula maisha sana enzi ya mchonga.
"IT IS OUR TIME TO EAT" but January and Nape already ate during Vasco Dagama 's time!! They want to eat again?
 
Pumba tupu yeye alikiri ukiwa na dola lazima ushinde na ndicho kilicho fanyika
Sasa asubiri kusugua benchi kazi ya wizi wa kura amesha ifanyia ccm yeye sasa ni toilet paper
 
Pumba tupu yeye alikiri ukiwa na dola lazima ushinde na ndicho kilicho fanyika
Sasa asubiri kusugua benchi kazi ya wizi wa kura amesha ifanyia ccm yeye sasa ni toilet paper
Ameharibu sana utamaduni wa nchi yetu - yaani utawala wa awamu ya tano hamna ubishi ni UTAWALA ULIOJIPACHIKA MADARAKANI. Ndiyo maana ikabidi hata Mwendazake atolewe kafara! Hovyo kabisa!
 
kati ya vitu ambavyo mama amenifurahisha ni hivi. amewanyoosha kwelikweli na kiburi chote hawasikiki. walipandisha mabega sana.
 
Huu uzi umeuandika ukiwa uwanja wa fisi na kombe lako la gongo mkononi, au ulikuwa msalani unakata gogo huku unaandika yanayokujia kichwani kwako? Maana hakuna anaeelewa ulichoandika hapa
Mimi nimeelewa, kama hujaelewa jua uzi haukulengwa kwa wenye upeo kama wako au uzi siyo size yako so kaa kwa kutulia tuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…