guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,758
kutesa kwa zamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnazikumbukaga hiz nyimbo yakishawakumba.Usifurahi juu yangu, ewe adui yangu.. Niangukapo mimi, nitasimama tena
Alisikika muimbaji wa nyimbo za injili akiimba
Kwani amehamia chama gani kwa sasa!!??Subiri Bashiru anarudi ccm huhui kitu
Kosa lake kubwa kuwaumbua mafisadi waliokuwa CCM. Kama si creditUkweli hawa jamaa wamekuwa kama Maksai au Ng'ombe waliohasiwa. Ngombe akihasiwa bwana huwezi kumkuta kule mbele wala pembeni ya kundi anakuwa tu katikati anachanganyika na majike na ndama. Hatari tupu!
Dr. Bashiru kwa sasa hata hiyo title ya kuanza na Udaktari hana hamu nayo. Sidhani kama anaweza kuchangia hoja bungeni - kama mpole na anatia huruma kwa kweli. Yaani sijui Mama aliadivaisiwa na nani amfanye hivi Bashiru.
Enzi zile umseme Mwendazake halafu ukutane na maelekezo ya Bashiru kukushughulikia - mbona ilikwa balaaa.
Polepole hata marafiki zake - makundi ya vijana yakawa ayanamwogopa - yaani.
Hawa wote anangalau wangekuwa waliwekwa kwenye nafasi hizo na wananchi wangeweza kupumua - sasa wapo bungeni kwa huruma ya Rais - waseme nini sasa - koro.. zimezamia ndani hadi wanatia huruma.
Mwendazake anasemwa weeeeeeeeeeee hawa wapo kimya tu - wanagugumia kichinichini. Dkt. Bashiru alivyonyanyasa akina Membe, Kinana, Makamba n.k sijui kwa sasa wanajionanaje?
hivi Bashiru avuliwe ubunge na hizo Ml 11 ambazo anazikamata kwa mwezi now arudishwe kwenye ml 3 yake ya UD hivi atakuwa katika hali gani? Kumbuka huyu hakujua hata kufanya biashara! Ndiyo maana tunawadharau sana wasomi kwa sasa.
Pyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
Namanisha anarudi kwenye ukatibu mkuuKwani amehamia chama gani kwa sasa!!??
Potelea mbaliUsifurahi juu yangu, ewe adui yangu.. Niangukapo mimi, nitasimama tena
Alisikika muimbaji wa nyimbo za injili akiimba
Ile ngebe imekwisha sasa ni adabu njema.Yah walinajisi demokrasia, na demokrasia imewanajisi
Anavuliwa tena ubunge!!??Namanisha anarudi kwenye ukatibu mkuu
Mbona wengine tumeelewa sana tu, labda ukileuka utaaelewaHuu uzi umeuandika ukiwa uwanja wa fisi na kombe lako la gongo mkononi, au ulikuwa msalani unakata gogo huku unaandika yanayokujia kichwani kwako? Maana hakuna anaeelewa ulichoandika hapa
Aliyeko juu mngojee chini.Ukweli hawa jamaa wamekuwa kama Maksai au Ng'ombe waliohasiwa. Ngombe akihasiwa bwana huwezi kumkuta kule mbele wala pembeni ya kundi anakuwa tu katikati anachanganyika na majike na ndama. Hatari tupu!
Dr. Bashiru kwa sasa hata hiyo title ya kuanza na Udaktari hana hamu nayo. Sidhani kama anaweza kuchangia hoja bungeni - kama mpole na anatia huruma kwa kweli. Yaani sijui Mama aliadivaisiwa na nani amfanye hivi Bashiru.
Enzi zile umseme Mwendazake halafu ukutane na maelekezo ya Bashiru kukushughulikia - mbona ilikwa balaaa.
Polepole hata marafiki zake - makundi ya vijana yakawa ayanamwogopa - yaani.
Hawa wote anangalau wangekuwa waliwekwa kwenye nafasi hizo na wananchi wangeweza kupumua - sasa wapo bungeni kwa huruma ya Rais - waseme nini sasa - koro.. zimezamia ndani hadi wanatia huruma.
Mwendazake anasemwa weeeeeeeeeeee hawa wapo kimya tu - wanagugumia kichinichini. Dkt. Bashiru alivyonyanyasa akina Membe, Kinana, Makamba n.k sijui kwa sasa wanajionanaje?
hivi Bashiru avuliwe ubunge na hizo Ml 11 ambazo anazikamata kwa mwezi now arudishwe kwenye ml 3 yake ya UD hivi atakuwa katika hali gani? Kumbuka huyu hakujua hata kufanya biashara! Ndiyo maana tunawadharau sana wasomi kwa sasa.
Pyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
Power za hao jamaa zilitoka from above, from the powers that be.Ukweli hawa jamaa wamekuwa kama Maksai au Ng'ombe waliohasiwa. Ngombe akihasiwa bwana huwezi kumkuta kule mbele wala pembeni ya kundi anakuwa tu katikati anachanganyika na majike na ndama. Hatari tupu!
Dr. Bashiru kwa sasa hata hiyo title ya kuanza na Udaktari hana hamu nayo. Sidhani kama anaweza kuchangia hoja bungeni - kama mpole na anatia huruma kwa kweli. Yaani sijui Mama aliadivaisiwa na nani amfanye hivi Bashiru.
Enzi zile umseme Mwendazake halafu ukutane na maelekezo ya Bashiru kukushughulikia - mbona ilikwa balaaa.
Polepole hata marafiki zake - makundi ya vijana yakawa ayanamwogopa - yaani.
Hawa wote anangalau wangekuwa waliwekwa kwenye nafasi hizo na wananchi wangeweza kupumua - sasa wapo bungeni kwa huruma ya Rais - waseme nini sasa - koro.. zimezamia ndani hadi wanatia huruma.
Mwendazake anasemwa weeeeeeeeeeee hawa wapo kimya tu - wanagugumia kichinichini. Dkt. Bashiru alivyonyanyasa akina Membe, Kinana, Makamba n.k sijui kwa sasa wanajionanaje?
hivi Bashiru avuliwe ubunge na hizo Ml 11 ambazo anazikamata kwa mwezi now arudishwe kwenye ml 3 yake ya UD hivi atakuwa katika hali gani? Kumbuka huyu hakujua hata kufanya biashara! Ndiyo maana tunawadharau sana wasomi kwa sasa.
Pyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
Bashiru vp tulia... Mbona Mimi nimeuelewa uziHuu uzi umeuandika ukiwa uwanja wa fisi na kombe lako la gongo mkononi, au ulikuwa msalani unakata gogo huku unaandika yanayokujia kichwani kwako? Maana hakuna anaeelewa ulichoandika hapa
"IT IS OUR TIME TO EAT" but January and Nape already ate during Vasco Dagama 's time!! They want to eat again?Kutesa kwa zamu. Wamekula maisha sana Hawa wacha wapumzike na wengine waingie. Hata akina Makamba walikula maisha enzi ya mkwere, akina mramba na Yona walikula maisha kwa uncle Ben na kina warioba na Bujiku walikula maisha sana enzi ya mchonga.
Pumba tupu yeye alikiri ukiwa na dola lazima ushinde na ndicho kilicho fanyikaDr. Bashiru uzuri wake ni kwamba ni mchapa kazi sana, ana kipaji cha juu sana cha organisation, pia hana umri mkubwa!
CV yake imepanda sana na anayo elimu. Ukiangalia hayo pekee, na jinsi alivyo bakishwa kwenye system, tegemea kuwa Dr Bashiru bado anahitajika sana na ni akiba - watawala wanayo tegemea.
Mfano: Dr. Bashiru hapendwi haswa na wapinzani kwa sababu alisaidia CCM kushinda viti vyote vya ubunge na uraisi - wanavyo dai! Je! Chaguzi zimeisha? Je CCM haitaki kushinda tena? Je! Dr. Bashiru hatahusishwa kamwe kufanikisha hili tena? Mpunguze mihemko yenu kusudi msije kukumbana na maneno haya - "msiye mpenda kaja"!
Ukatibu Mkuu na ubunge - wapi bora? Manake ukatibu Mkuu nao ni wa kupewa sio wa kugombea!Namanisha anarudi kwenye ukatibu mkuu
Ameharibu sana utamaduni wa nchi yetu - yaani utawala wa awamu ya tano hamna ubishi ni UTAWALA ULIOJIPACHIKA MADARAKANI. Ndiyo maana ikabidi hata Mwendazake atolewe kafara! Hovyo kabisa!Pumba tupu yeye alikiri ukiwa na dola lazima ushinde na ndicho kilicho fanyika
Sasa asubiri kusugua benchi kazi ya wizi wa kura amesha ifanyia ccm yeye sasa ni toilet paper
Labda katibu mkuu wa CHANETA.Namanisha anarudi kwenye ukatibu mkuu
Mimi nimeelewa, kama hujaelewa jua uzi haukulengwa kwa wenye upeo kama wako au uzi siyo size yako so kaa kwa kutulia tuli.Huu uzi umeuandika ukiwa uwanja wa fisi na kombe lako la gongo mkononi, au ulikuwa msalani unakata gogo huku unaandika yanayokujia kichwani kwako? Maana hakuna anaeelewa ulichoandika hapa