Minah24
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 1,043
- 1,937
Tutakuta ngorongoro nikitoka Kibosho.Hahaha mrembo utakuwa ktk hali nzuri na ya usalama kabisa, mfano kwa hapo Dar after bata utarudishwa kwenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutakuta ngorongoro nikitoka Kibosho.Hahaha mrembo utakuwa ktk hali nzuri na ya usalama kabisa, mfano kwa hapo Dar after bata utarudishwa kwenu.
Mmebaki wachache sana...Naenda zangu sikukuu Kibosha
Ntajilipia mwenyewe
Cpendag vya buree
Kunguru mwoga........Mmebaki wachache sana...
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha,nacheka kiingereza eti huna figo mojaKitu cha bure tu hakipo,huezi tumia Pesa ya mtu bila sababu inabid anaseme anataka nn kwa hao wanawake 10
Naeza enda Alafu kesho yake nijikute sina Figo moja[emoji23][emoji23]
Ndio maa!Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha,nacheka kiingereza eti huna figo moja
😹😹😹😹😹😹😹😹😹Ndio maa!
Utakula na kunywa, icho unachokunywa mwisho wa siku imewekwa nusukaputi
Ukija kuamka unauguza kidonda na Figo huna
Ah ah ah ah ah nimebaki nacheka tuuuuNaogopa vitu vya bure
Ilisha wai kukukuta?Hahahhaahaaaa
Umenikumbusha jamaaa mmoja hahahhaaaa
Aisee jf hapana
Ilisha wai kukukuta?
Vitu vya bure kipindi hiki niakunagaAh ah ah ah ah nimebaki nacheka tuuuu
Karibu mpaka sasa nimepata watatu
Usiogope mrembo, wanaume tumeumbwa kwaajili yenu so relax. Mwanaume ndiye anapswa kuogopa vitu vya bure sio wewe bhn. Karibu sana.
Kitu cha bure tu hakipo,huezi tumia Pesa ya mtu bila sababu inabid anaseme anataka nn kwa hao wanawake 10
Naeza enda Alafu kesho yake nijikute sina Figo moja[emoji23][emoji23]
Lusungo niingize vya mtu huliwa na mtu vya chuma huliwa na kutu
😱😛😛Lusungo niingize vya mtu huliwa na mtu vya chuma huliwa na kutu
Lusungo niingize vya mtu huliwa na mtu vya chuma huliwa na kutu
Daaah bahati mbaya nmeshasafiri....uwe unatutaarifu mapema mkuuHello JF kama ule msemo wetu pendwa ulivyo #kazinabata# basi nami nawaalika warembo wa JF wasizidi 10 tule bata pamoja au sio?
Tarehe 26 nitaruka kutoka Washington Dules international Airport kuelekea Dar es Salaam then tarehe 28 nitakua free kwenye viunga vya Dar so napendelea kujulishwa viwanja vipya vya kujivinjari na warembo wangu wa JF!! Baada ya hapo Tarehe 30 tutakua na flight kuelekea Serengeti then Ngorongoro na kurudi Dar es Salaam tarehe 3 January.
Hivyo ukiwa kama mrembo wa JF karibu sana u join nami and all bills zitakuwa juu yangu only nahitaji hangout tuu. Zawadi pia zitakuwepo.
Watakao hitaji karibuni sana hapa au PM.
Karibuni.