Nawaalika warembo wa kula nao bata

Nawaalika warembo wa kula nao bata

Kitu cha bure tu hakipo,huezi tumia Pesa ya mtu bila sababu inabid anaseme anataka nn kwa hao wanawake 10

Naeza enda Alafu kesho yake nijikute sina Figo moja[emoji23][emoji23]
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha,nacheka kiingereza eti huna figo moja
 
Hello JF kama ule msemo wetu pendwa ulivyo #kazinabata# basi nami nawaalika warembo wa JF wasizidi 10 tule bata pamoja au sio?

Tarehe 26 nitaruka kutoka Washington Dules international Airport kuelekea Dar es Salaam then tarehe 28 nitakua free kwenye viunga vya Dar so napendelea kujulishwa viwanja vipya vya kujivinjari na warembo wangu wa JF!! Baada ya hapo Tarehe 30 tutakua na flight kuelekea Serengeti then Ngorongoro na kurudi Dar es Salaam tarehe 3 January.

Hivyo ukiwa kama mrembo wa JF karibu sana u join nami and all bills zitakuwa juu yangu only nahitaji hangout tuu. Zawadi pia zitakuwepo.

Watakao hitaji karibuni sana hapa au PM.

Karibuni.
Daaah bahati mbaya nmeshasafiri....uwe unatutaarifu mapema mkuu
Vitu Kama hivi sipendagi kabisa kukosa!!!
 
Back
Top Bottom