Nawaalika warembo wa kula nao bata

Kitu cha bure tu hakipo,huezi tumia Pesa ya mtu bila sababu inabid anaseme anataka nn kwa hao wanawake 10

Naeza enda Alafu kesho yake nijikute sina Figo moja[emoji23][emoji23]
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha,nacheka kiingereza eti huna figo moja
 
Ndio maa!
Utakula na kunywa, icho unachokunywa mwisho wa siku imewekwa nusukaputi
Ukija kuamka unauguza kidonda na Figo huna
😹😹😹😹😹😹😹😹😹
 
Daaah bahati mbaya nmeshasafiri....uwe unatutaarifu mapema mkuu
Vitu Kama hivi sipendagi kabisa kukosa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…