Nawaalika warembo wa kula nao bata

Nawaalika warembo wa kula nao bata

Lusungo

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
28,259
Reaction score
41,416
Hello JF kama ule msemo wetu pendwa ulivyo #kazinabata# basi nami nawaalika warembo wa JF wasizidi 10 tule bata pamoja au sio?

Tarehe 26 nitaruka kutoka Washington Dules international Airport kuelekea Dar es Salaam then tarehe 28 nitakua free kwenye viunga vya Dar so napendelea kujulishwa viwanja vipya vya kujivinjari na warembo wangu wa JF!! Baada ya hapo Tarehe 30 tutakua na flight kuelekea Serengeti then Ngorongoro na kurudi Dar es Salaam tarehe 3 January.

Hivyo ukiwa kama mrembo wa JF karibu sana u join nami and all bills zitakuwa juu yangu only nahitaji hangout tuu. Zawadi pia zitakuwepo.

Watakao hitaji karibuni sana hapa au PM.

Karibuni.
 
Najua...boksi ni mjumuisho tu wa ajira ughaibuni no offence intended.
Haha wala namimi sijawaza juu ya offence ila ukisikia boksi huku tunamaanisha za wale jamaa zetu un skilled au kazi za kuvuja jasho [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Haha wala namimi sijawaza juu ya offence ila ukisikia boksi huku tunamaanisha za wale jamaa zetu un skilled au kazi za kuvuja jasho [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Karibu...ila mababes kumi wengi sana, hutahitaji msaidizi?
 
Kitu cha bure tu hakipo,huezi tumia Pesa ya mtu bila sababu inabid anaseme anataka nn kwa hao wanawake 10

Naeza enda Alafu kesho yake nijikute sina Figo moja[emoji23][emoji23]
Twende Dubai weekend...kwasababu hupendi vya bure jilipie.
 
Usiogope mrembo, wanaume tumeumbwa kwaajili yenu so relax. Mwanaume ndiye anapswa kuogopa vitu vya bure sio wewe bhn. Karibu sana.
Wote inabidi tuviogope ,vina malipo makubwa sana baadae

Ila utawapata hata ucijali humu wapo wengi sana,tena kipindi hiki cha sikukuu wengi wanahitaji mapumziko ya free ili kusave hela ya January
 
Kitu cha bure tu hakipo,huezi tumia Pesa ya mtu bila sababu inabid anaseme anataka nn kwa hao wanawake 10

Naeza enda Alafu kesho yake nijikute sina Figo moja[emoji23][emoji23]
Hahaha mrembo utakuwa ktk hali nzuri na ya usalama kabisa, mfano kwa hapo Dar after bata utarudishwa kwenu.
 
Wote inabidi tuviogope ,vina malipo makubwa sana baadae

Ila utawapata hata ucijali humu wapo wengi sana,tena kipindi hiki cha sikukuu wengi wanahitaji mapumziko ya free ili kusave hela ya January
Usiogope mrembo havina gharama yoyote.
 
Back
Top Bottom