Nawaalika wote kwenye shughuli fupi ya kupeleka mahali kwa familia ya mchumba wangu

Nawaalika wote kwenye shughuli fupi ya kupeleka mahali kwa familia ya mchumba wangu

Nipe code namna ya kufika hapo eneo husika
Invitations kama hizi ni very important Sana kuhudhuria kuchukua experience lakini mkuu ungeambatanisha na attachment kabisa ya picha ya shemeji ili kunogesha Uzi na kuhamasisha sisi waalikwa
Au wakulungwa mnasemaje katika hili jamani
 
Habari za mihangaiko ndugu jamaa na marafil wa jf.

Natumai wazima wa afya tele,

Mm pia cjambo

Wana jamii wenzang ,wake kwa waume vijana kwa wazee, mabibi na mabwana napenda kufuchuka nafasi ya kuwaalika wote kwenye shughuli fupi ya kupeleka mahali kwa familia ya mchumba wangu iliopo majohe Chuo rada jijini dar-es-salamal, itakayofanyika mida ya saa saba mchana.

Kwa alie na nafasi na yupo Karibu anaalikwa ktk shughuli hiyo cna mengi zaid kwa mawasiliano unaweza not cheki WhatsApp +255785332020, lkn pia unaweza kupiga au kutuma ujumbe wa kawaida kwa namba hiyo hiyo au ukatumia namba hii +255719103409 wote mnakabishwa bila kukosa asanteni sana

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
Dah sawa hongera sana..ni leo hiyo?
 
Nipe code namna ya kufika hapo eneo husika
Invitations kama hizi ni very important Sana kuhudhuria kuchukua experience lakini mkuu ungeambatanisha na attachment kabisa ya picha ya shemeji ili kunogesha Uzi na kuhamasisha sisi waalikwa
Au wakulungwa mnasemaje katika hili jamani
Nimeweka namba zangu hapo nicheki

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
lakini kama familia ni ya RC basi hapo baada ya kutoa mahali lazima watu watakase makoo hukuu wadogo na wakubwa wa mtolewa mahali wanajipitisha baada ya aibu yako kuisha ni fully kuchukua namba tu na ni rahisi sana maana mood ya siku hiyo ni kupata kama alichopata dada yao
Cc ni waislam kwa hiyo hapo ni hakuna utaratibu huo, hata mchumba mwenyewe anaweza akawepo au asiwepo eneo la tukio, na hata akiwepo huwezi kumuona, nafikili hata mm ctakuwepo hapo ni ndugu jamaa na marafiki wa pande A na pande B

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: lup
Back
Top Bottom