cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Sasa si umuulize, akikujibu mshauri.muachea akaoe
Ningemuuliza yeye ana attitude ya simba au ya fisi kisha ningemshauri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa si umuulize, akikujibu mshauri.muachea akaoe
Ningemuuliza yeye ana attitude ya simba au ya fisi kisha ningemshauri
Sasa si umuulize, akikujibu mshauri.
Oooooh bas sawa.Mkuu mimi nawashauri ambao bado hawana maamuzi
Nimetuma 405,000 (na ya kutolea)
Shukrani nimeiyonaNimetuma 405,000 (na ya kutolea)
Kama umefanya hivi Mungu akuongezee. Mleta mada anaonekana muungwana kwa mapokeo ya thread yake hii na comments anazopataNimetuma 405,000 (na ya kutolea)
NI jumapili ya keshoMlioenda kutoa mahari tupeni feedback basi au mmemsusia mtoa mahari
Haina noma mzeiya
Cjajua waandaji kama wameandaa au la?Mkuu bia zitakuwepo
location?Habari za mihangaiko ndugu jamaa na marafil wa jf.
Natumai wazima wa afya tele,
Mm pia cjambo
Wana jamii wenzang ,wake kwa waume vijana kwa wazee, mabibi na mabwana napenda kufuchuka nafasi ya kuwaalika wote kwenye shughuli fupi ya kupeleka mahali kwa familia ya mchumba wangu iliopo majohe Chuo rada jijini dar-es-salamal, itakayofanyika mida ya saa saba mchana.
Kwa alie na nafasi na yupo Karibu anaalikwa ktk shughuli hiyo cna mengi zaid kwa mawasiliano unaweza not cheki WhatsApp +255785332020, lkn pia unaweza kupiga au kutuma ujumbe wa kawaida kwa namba hiyo hiyo au ukatumia namba hii +255719103409 wote mnakabishwa bila kukosa asanteni sana
Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
Hazipo whatsapp na nilipopiga nikasikia sauti kama ya Tundu LissuHabari za mihangaiko ndugu jamaa na marafil wa jf.