Nawaalika wote kwenye shughuli fupi ya kupeleka mahali kwa familia ya mchumba wangu

Nawaalika wote kwenye shughuli fupi ya kupeleka mahali kwa familia ya mchumba wangu

Kama bwana harusi ndiye wewe basi Bibi harusi kala hasara.
 
Vipi vitakasa koo vitakuwepo au ni mwendo wa coca na hlf cakes?
Kama vitakuwepo naomba ukaniwakilishe kisawasawa mkuu..... Yani vibugie bila aibu
..... Angalizo: kama huyo mchumba kamsomesha mjiandae pia kubeba mgonjwa
 
Back
Top Bottom