Nawaalika wote kwenye shughuli fupi ya kupeleka mahali kwa familia ya mchumba wangu

Nipe code namna ya kufika hapo eneo husika
Invitations kama hizi ni very important Sana kuhudhuria kuchukua experience lakini mkuu ungeambatanisha na attachment kabisa ya picha ya shemeji ili kunogesha Uzi na kuhamasisha sisi waalikwa
Au wakulungwa mnasemaje katika hili jamani
 
Dah sawa hongera sana..ni leo hiyo?
 
Nimeweka namba zangu hapo nicheki

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Cc ni waislam kwa hiyo hapo ni hakuna utaratibu huo, hata mchumba mwenyewe anaweza akawepo au asiwepo eneo la tukio, na hata akiwepo huwezi kumuona, nafikili hata mm ctakuwepo hapo ni ndugu jamaa na marafiki wa pande A na pande B

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Reactions: lup
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…