Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
[emoji106]Mkija wote mtakuwa mmeonyesha kiasi gani mnajali na kumthamini mwana jf mwenzenu, tukinywa hata maji inatosha
Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
Hauwezi kukosavipi kuna ubwabwa shekh wangu...? [emoji16]
basi mshaurimimi siendi huko
basi mshauri
Subiria maumivuShukrani mkuu,
Ila nasikitika nitakuwa busy kusubiri kwa hamu kitu maniyu watafanywa na Liver walaqhi' tena..!!
shughuli za mida hyo wandengerekoShughuli hiyo itafanyika siku ya jumapili ya trh 17/01/2021 Saa saba mchana
Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
Ww utakuwa umekula faida?Kama bwana harusi ndiye wewe basi Bibi harusi kala hasara.
Hayo mawazo yako tu rafikishughuli za mida hyo wandengereko
Nani amekuambia kama used?HIVI KARNE HII KUNA WATU BADO WANALIPA MAHARI KWEL?...Unatoa hela upate 'K' tena over-used kabisa..nimeamini watu wana roho ngumu
Kama vitakuwepo naomba ukaniwakilishe kisawasawa mkuu..... Yani vibugie bila aibuVipi vitakasa koo vitakuwepo au ni mwendo wa coca na hlf cakes?