Nawaasa vijana wale wanaotaka kuingia katika ndoa

General Nguli

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2022
Posts
1,190
Reaction score
2,508
Vijana wenzangu naomba nitoe experience yangu ndogo kwa kiwango changu kulingana na ndoa nilivyoingia na kujionea yaliomo kulingana na majukumu yangu kikazi na mke wangu mwajiriwa.

Kiufupi wote tuna Mishahara.

1. Kuu kuliko yote hakikisha Mchumba Mke ama Mume anamuelezea mwenzie mahitaji yakweli ukiwa Serious kuwa hiki na kile sikitaki katika maisha yetu katika ndoa. Tena uwe seriously ukiwa na sura mkazo huku ukiweka mahaba pembeni.Tena ikibidi muandikishane maana nimeshuhudia mabadiliko ama kubalika kwa kila wapenzi pindi waingiapo kwenye Ndoa.

2. Usikubali kuingia kwenye ndoa huku ukijua mwenza wako anategemewa na kundi (ndugu) na hayuko tayari kutengana nao kwa ajili ya Maisha yenu (familia yenu).Ukizama katika penzi ndoani humo hamtakuwa na Amani kamwe huto sita kuja Jukwaani kutaka ushauri kuwa Shemeji kanitukana.

3. Hakikisha siku ya kwanza katika ndoa yenu kipato cha mume/mke mnaweka mezani na kupanga majukum na kusimamia kama baba na usikubali baba kuonekana bogus usie mjanja katika kuunda plan ya ku make money.

4. Find time ya kutembelea marafiki ndugu jamaa kujionea maendeleo na vipaombele vya watu mbali mbali mtakao kuwa mnawatembelea. Itawapa Mood ya kufeel kusimamia Malengo yenu.

5. Pendelea kumshawishi mwenza wako katika kufanya mazoezi hasa kukimbia pamoja kucheza pamoja hata kama hapendi hata ikibidi mshawishi hata kwa Ngawira. Akiweza mtazidi kupendana na kukusikiliza sana.

6. Kama mwanaume jiongeze katika mazoezi ya ziada ikiwa Push Up Squash hata setup ili uincreas stamina na Pumzi uweze kusimamia show.

Hakika ukisimamia hayo hutajikuta na Stress Mawazo kushindwa kula hata kulala.
Kazi na jamii utaiona ya ajabu. Utajikuta hata kwenye uraibu wa Pombe, Bangi sigara hata Unga pia.

Tupeane Moyo vijana wenzangu.
 
Minaona.....
-Ukioa anza kuchelewa kurudi nyumbani, hata ikibidi unarudi kesho yake.
-Kula pombe kadiri uwezavyo na supu za mtaani ili ukuze kitambi.
-Piga pipe daily kama haujawahi kuiona na hauijui, wepiga pipe tu.
-Peleka watoto shule za vidumu na ufagio (usichezee hela kwenye ada) ili wajifunze maisha ya kujitegemea kwani elimu skuizi haieleweki.
-Hakikisha mke anakua na genge la kuuza mbogamboga ili uhakika wa mboga uwepo nyumbani, sio kilasiku unaombwa hela.
-Honga ili uheshimiwe na madem hata siku uking'ata shuka unaacha jina kubwa.
 
Umenikumbusha wimbo wa Mandojo & Domokaya - Dingi.
 
Vijana wenzangu naomba nitoe experience yangu ndogo kwa kiwango changu kulingana na ndoa nilivyoingia na kujionea yaliomo kulingana na majukumu yangu kikazi na mke wangu mwajiriwa.

Kiufupi wote tuna Mishahara.

1. Kuu kuliko yote hakikisha Mchumba Mke ama Mume anamuelezea mwenzie mahitaji yakweli ukiwa Serious kuwa hiki na kile sikitaki katika maisha yetu katika ndoa. Tena uwe seriously ukiwa na sura mkazo huku ukiweka mahaba pembeni.Tena ikibidi muandikishane maana nimeshuhudia mabadiliko ama kubalika kwa kila wapenzi pindi waingiapo kwenye Ndoa.

2. Usikubali kuingia kwenye ndoa huku ukijua mwenza wako anategemewa na kundi (ndugu) na hayuko tayari kutengana nao kwa ajili ya Maisha yenu (familia yenu).Ukizama katika penzi ndoani humo hamtakuwa na Amani kamwe huto sita kuja Jukwaani kutaka ushauri kuwa Shemeji kanitukana.

3. Hakikisha siku ya kwanza katika ndoa yenu kipato cha mume/mke mnaweka mezani na kupanga majukum na kusimamia kama baba na usikubali baba kuonekana bogus usie mjanja katika kuunda plan ya ku make money.

4. Find time ya kutembelea marafiki ndugu jamaa kujionea maendeleo na vipaombele vya watu mbali mbali mtakao kuwa mnawatembelea. Itawapa Mood ya kufeel kusimamia Malengo yenu.

5. Pendelea kumshawishi mwenza wako katika kufanya mazoezi hasa kukimbia pamoja kucheza pamoja hata kama hapendi hata ikibidi mshawishi hata kwa Ngawira. Akiweza mtazidi kupendana na kukusikiliza sana.

6. Kama mwanaume jiongeze katika mazoezi ya ziada ikiwa Push Up Squash hata setup ili uincreas stamina na Pumzi uweze kusimamia show.

Hakika ukisimamia hayo hutajikuta na Stress Mawazo kushindwa kula hata kulala.
Kazi na jamii utaiona ya ajabu. Utajikuta hata kwenye uraibu wa Pombe, Bangi sigara hata Unga pia.

Tupeane Moyo vijana wenzangu.
Halafu......utagundua hayo uliyo orodhesha hayana maana ktk ndoa.
 
hoja no 2 na hija no 4 zinapingana

Yaan hoja zako zinapingana zenyew kw zenyew kabl wachangiaj hawajakupinga
 
Back
Top Bottom