Nawachukia baadhi ya wanaume kuanzia leo



Pole dada mzuri,maisha ya mapenzi ni mtihani mtupu ,mungu atakupa nguvu ya kuanza upya .

Mie nilijaaliwa kupata mume mbinafsi,muongo,mwenye dharau na hajali maumivu yangu,mkali kupita kiasi, mjeuri ,na wivu wa kijinga juu
na hapo hapo yy mwenyewe si muaminifu .

Nilikaa chini na kutafakari na nikajifunza kusema NO
Nilianza maisha upya bila yy japo niliumia saana baad ya miaka 12 ya kuwa nae
Sasa ninae mwingine na nimeamua kutompa mtu mwingine nafasi ya kuninyanyasa natumia AKILI badala Ya MOYO kama tulivyozoea wanwake maana wenzetu hufany maamuzi mradi tu akili yake imepiga hesabu na kuona atafaidika kwa namna moja au nyingine.

KWA WANAWAKE HATA MUME AKIKUFUKUZA NA PANGA MKONONI NA UKAONA SHIMO MBELE ATAMWAMBIA BABA FULANI KUNA SHIMO HAPO ANGALIA USIUMIE !!!!!!!!!

Mchunguze mwanaume kwa upole ,timiza wajibu wako ila ukiona ni mnyanyasaji SEMA NO WITH CAPITAL LETTER, BOLD IT AND UNDERLINE

Umekamilika na unaweza kuishi kwa utulivu bila yy:confused2:
 
Hapo bold umekosea.Do you think wanawake tuna huruma zaidi ya wanaume??????????????????????????????????????????????????

Unaweza ukarudia kusoma title ya hii thread kama unaweza
 

Nakushukuru sana kwa ushauri huu dah nimeishiwa hata maneno Thanks
 
Do,

Mimi wangu hayupo kabisa katika kundi hili!!!

Lakini jamani, this is too general, kama wanaume wote wangekuwa hivyo basi ingekwua balaa!

However, let us, ladies ask ourselves.... can we do without men?
 
Do,

Mimi wangu hayupo kabisa katika kundi hili!!!

Lakini jamani, this is too general, kama wanaume wote wangekuwa hivyo basi ingekwua balaa!

However, let us, ladies ask ourselves.... can we do without men?

Unaweza kurudia kusoma title
 

Dah nimeshikwa na uchungu sana pole mama tuliza kichwa kwanza
 
Nimechoshwa na tabia yake huyu mwanaume m**** sana sijui akoje jamani mwenzenu

DA mwanzoni nilidhani labda aliyekuudhi malaika, kumba banadamu mwenzetu. Binadamu wote wana kasoro, hata we huwa unamuudhi hata kama si kwa namna sawa na alivyofanya yeye. Vumilia na samehe, otherwise, achana na binadamu tafuta malaikaz
 
Dena bado umekasirika mamaa?.........umefuata ushauri wa Mheshimiwa Mbu?
Sasa mbona hujasema kakufanya nini huyu Baba Chanja wako? Si ajabu ulichofanyiwa ni kidogo kulinganisha na vingine au pia kilichotokea pengine kuna mkono wako hapo! una uhakika wewe hujachangia ??

hebu funguka mwali, tutete
 

Mumy Hujambo?
 
Huna lolote wazimu wako tu .Njoo nikupooze pale pale pa siku ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…