Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,626
Pole Sana Dena Amsi
Wewe tumeambiwa kuwa umepigwa ban...nani kakuombea msamaha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole Sana Dena Amsi
Kwanini hamna huruma?
Kwanini hamthamini wanawake?
Kwanini hamna heshima na adabu?
Kwanini Hamthamini michango yetu kwenye familia??
Kwanini Mnamadharau?
Kwanini hamjali maumivu msababishayo kwa mkeo?
Kwanini hamjali hisia tulizonazo??
Kwanini mawasiliano mwanamke tu ndo aanze??
KWanini hamjali msaada mnaopewa??
NAWACHUKIA NAWACHUKIA NAWACHUKIA NAWACHUKIA MILELE SIWAPENDI
JF Ingeruhusu matusi nadhani hasira yangu ingeishia hapa leo.............ukoje wewe mwanaume upendweje?? Usaidiweje?? Ujaliweje?
Ngoja nika............oohh gooooshi nilale tu
Mtu asiniulize nini kimenikuta but nimeumizwa vya kutosha today nasema kilichonisibu
Hapo bold umekosea.Do you think wanawake tuna huruma zaidi ya wanaume??????????????????????????????????????????????????Kwanini hamna huruma?
Mchokozi wewe
Pole dada mzuri,maisha ya mapenzi ni mtihani mtupu ,mungu atakupa nguvu ya kuanza upya .
Mie nilijaaliwa kupata mume mbinafsi,muongo,mwenye dharau na hajali maumivu yangu,mkali kupita kiasi, mjeuri ,na wivu wa kijinga juu
na hapo hapo yy mwenyewe si muaminifu .
Nilikaa chini na kutafakari na nikajifunza kusema NO
Nilianza maisha upya bila yy japo niliumia saana baad ya miaka 12 ya kuwa nae
Sasa ninae mwingine na nimeamua kutompa mtu mwingine nafasi ya kuninyanyasa natumia AKILI badala Ya MOYO kama tulivyozoea wanwake maana wenzetu hufany maamuzi mradi tu akili yake imepiga hesabu na kuona atafaidika kwa namna moja au nyingine.
KWA WANAWAKE HATA MUME AKIKUFUKUZA NA PANGA MKONONI NA UKAONA SHIMO MBELE ATAMWAMBIA BABA FULANI KUNA SHIMO HAPO ANGALIA USIUMIE !!!!!!!!!
Mchunguze mwanaume kwa upole ,timiza wajibu wako ila ukiona ni mnyanyasaji SEMA NO WITH CAPITAL LETTER, BOLD IT AND UNDERLINE
Umekamilika na unaweza kuishi kwa utulivu bila yy:confused2:
DA si mimi niliyesema hayo,
Hebu soma post No. 116 hapa chini
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/142786-naomba-mnijuze-tafadhali-6.html
Unaweza ukarudia kusoma title ya hii thread kama unaweza
Kwanini hamna huruma?
Kwanini hamthamini wanawake?
Kwanini hamna heshima na adabu?
Kwanini Hamthamini michango yetu kwenye familia??
Kwanini Mnamadharau?
Kwanini hamjali maumivu msababishayo kwa mkeo?
Kwanini hamjali hisia tulizonazo??
Kwanini mawasiliano mwanamke tu ndo aanze??
KWanini hamjali msaada mnaopewa??
NAWACHUKIA NAWACHUKIA NAWACHUKIA NAWACHUKIA MILELE SIWAPENDI
JF Ingeruhusu matusi nadhani hasira yangu ingeishia hapa leo.............ukoje wewe mwanaume upendweje?? Usaidiweje?? Ujaliweje?
Ngoja nika............oohh gooooshi nilale tu
Mtu asiniulize nini kimenikuta but nimeumizwa vya kutosha today nasema kilichonisibu
Nimechoshwa na tabia yake huyu mwanaume m**** sana sijui akoje jamani mwenzenu
Ahaaa ahaaa haaaa BAN ime-bounceWewe tumeambiwa kuwa umepigwa ban...nani kakuombea msamaha?
Dena bado umekasirika mamaa?.........umefuata ushauri wa Mheshimiwa Mbu?
Sasa mbona hujasema kakufanya nini huyu Baba Chanja wako? Si ajabu ulichofanyiwa ni kidogo kulinganisha na vingine au pia kilichotokea pengine kuna mkono wako hapo! una uhakika wewe hujachangia ??
hebu funguka mwali, tutete