Nawachukia baadhi ya wanaume kuanzia leo

Pole dada lakini haupaswi kulaum hivo kwani wanaume wote ni sawa lakini akili na tabia ni tofauti kabisa. Mi mwenyewe nawachukia sana nyie wanawake nilishafanyiwa vi2ko mpaka leo hii imepita miaka 8 sijafikiria tena kumpenda mwanamke.
 
aisee...!
kaaz kwel kwel

ngoja nimpigie simu bro aje aisome hii
 
Do,

Mimi wangu hayupo kabisa katika kundi hili!!!

Lakini jamani, this is too general, kama wanaume wote wangekuwa hivyo basi ingekwua balaa!

However, let us, ladies ask ourselves.... can we do without men?
love us, hate us, we are made for each other!
 
By the way Dena ,kuna siku mdau Kajuna alitangaza ndoa na weye na kupanga tarehe ya mahari,ndo huyo kakuudhi ?sema ili tumshukie!
 
Duh sasa na wewe unazidi kumuumiza mwenzio.
 
Pole sana dada,

Ningependa sana nikupe ushauri, tatizo haya mambo ya mahusiano waweza ubebe kesi isiyo na miguu wala kichwa. Jamaa anaweza kuprint huu ushauri halafu akaanza kukutia makwenzi bure. Naumia kukosa kukupa msaada, lakini basi vumilia ndugu yangu.
 
<br />
<br />
Hajui km kuna JF wala ID yangu haijui
 
<br />
<br />
Hajui km kuna JF wala ID yangu haijui

Ni Mtanzania? Kama ni Mtanzani usije ukabweteka na kudhani kuwa hajui kama kuna JF. Anaweza asiijue ID yako lakini kudhani kuwa mtu hayupo hapa ni yale yale ya umdhaniaye ndiye kumbe siye.

Ni nini kinachokufanya wewe udhanie kuwa yeye hayupo hapa? Manake kama wewe hujamwambia kuhusu uwepo wako hapa na yeye inaweza ikawa vivyo hivyo. Fikiria!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…