Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakaona ka-Lizzy hapo chini. Sijui hakataki kuchangia leo....teh teh teh
Ooops...kumbe ndo kalikuwa katikati ya kutuma mchango wake. My bad..
Pole mpnz...jipumzikie au nenda sehemu ukapunge upepo urefresh akili yako!!
Sipiyu dah...kwani JF kazi yake nini kama sio sehemu ya kupoozana na kupeana mawazo!!
Usisome katikati ya mistari bana
Nimeongea hayo maneno makusudi kabisa, kwa sababu nataka nikutoe kwenye attention ya hizo hasira
Hasira si nzuri bana
Unajiongezea matatizo tu
Pole Dena ndio maana nilikuandikia barua kuwa umeadimika hapa JF nilijua si bure.NAWACHUKIA NAWACHUKIA NAWACHUKIA NAWACHUKIA MILELE SIWAPENDI
JF Ingeruhusu matusi nadhani hasira yangu ingeishia hapa leo.............ukoje wewe mwanaume upendweje?? Usaidiweje?? Ujaliweje?
Ngoja nika............oohh gooooshi nilale tu
Mtu asiniulize nini kimenikuta but nimeumizwa vya kutosha today nasema kilichonisibu
We acha tu hayajakukuta bana yaani dahhhh ninge...ngoja niache thanx
Kwanini hamna huruma?
Kwanini hamthamini wanawake?
Kwanini hamna heshima na adabu?
Kwanini Hamthamini michango yetu kwenye familia??
Kwanini Mnamadharau?
Kwanini hamjali maumivu msababishayo kwa mkeo?
Kwanini hamjali hisia tulizonazo??
Kwanini mawasiliano mwanamke tu ndo aanze??
KWanini hamjali msaada mnaopewa??
NAWACHUKIA NAWACHUKIA NAWACHUKIA NAWACHUKIA MILELE SIWAPENDI
JF Ingeruhusu matusi nadhani hasira yangu ingeishia hapa leo.............ukoje wewe mwanaume upendweje?? Usaidiweje?? Ujaliweje?
Ngoja nika............oohh gooooshi nilale tu
Mtu asiniulize nini kimenikuta but nimeumizwa vya kutosha today nasema kilichonisibu
Huyu kaja vibaya bana
Anaulizia hadi uwezekano wa kutukana JF kama ingeruhusiwa, yaani throu matusi hapa JF ndo angemaliza hasira zake
Mi ndo hapa sikubaliani nae hata kidogo
Tatizo halitatuliwi kwa matusi bana
Ushushu umeanza lini???!Nakaona ka-Lizzy hapo chini. Sijui hakataki kuchangia leo....teh teh teh
Ooops...kumbe ndo kalikuwa katikati ya kutuma mchango wake. My bad..
Nimekuja maana naona hawa kina Sipiyu nao wanakuongezea tu hasira!Mama Mchungaji kula saluti kumi kwa mpigo was waiting for you
Pole sana DA...inaelekea umekwazika sana mpaka kutumia lugha ambayo sijawahi kukuona ukiitumia hapa jamvini.
CPU its better ukaondoka kwa hii thread naona kama waniongezea hasira vileeeeeeeeeeeeeeeeeee kindly i beg you to do that right??
Kukasirika kwa binadamu ni kawaida
Lakin yapaswa tudhibiti hasira zetu
Chukulia umekasirika hivyo, umeshindwa kujizuia then unaanza kutukana kila mwanaume, si unaweza kujikuta umemtukana hadi baba ako mzazi??
Kisa??? Hasira!!!!
Hasira hasara bana!!
Nimekuja maana naona hawa kina Sipiyu nao wanakuongezea tu hasira!
Ila kweli kama kuna sehemu tulivu nenda ukajikalie na kutembea tembea kidogo akili yako itulie!Au kama unaweza hata kukimbia kidogo hua inasaidia sana kushusha munkari!!