Nawachukia baadhi ya wanaume kuanzia leo

Nawachukia baadhi ya wanaume kuanzia leo

Pole sana. Vumilia, hasira hutokana na Shetani. Subira hutoka kwa Mungu. Tambua kuwa wawili inahtaji kuvumilia ndio maisha yalivo. Piga moyo konde
 
Pole mpnz...jipumzikie au nenda sehemu ukapunge upepo urefresh akili yako!!

Sipiyu dah...kwani JF kazi yake nini kama sio sehemu ya kupoozana na kupeana mawazo!!

Mama Mchungaji kula saluti kumi kwa mpigo was waiting for you
 
Nakaona ka-Lizzy hapo chini. Sijui hakataki kuchangia leo....teh teh teh

Ooops...kumbe ndo kalikuwa katikati ya kutuma mchango wake. My bad..

Ka-Lizzy bana
Kanapeeeeenda kuchungulia watu
 
Wamama bwana, hapo kakasirika kweli lakini jamaa akirudi akampa ile kitu kwisha maneno, ila pole dada
 
Pole mpnz...jipumzikie au nenda sehemu ukapunge upepo urefresh akili yako!!

Sipiyu dah...kwani JF kazi yake nini kama sio sehemu ya kupoozana na kupeana mawazo!!

Huyu kaja vibaya bana
Anaulizia hadi uwezekano wa kutukana JF kama ingeruhusiwa, yaani throu matusi hapa JF ndo angemaliza hasira zake
Mi ndo hapa sikubaliani nae hata kidogo
Tatizo halitatuliwi kwa matusi bana
 
Usisome katikati ya mistari bana
Nimeongea hayo maneno makusudi kabisa, kwa sababu nataka nikutoe kwenye attention ya hizo hasira
Hasira si nzuri bana
Unajiongezea matatizo tu

We acha tu hayajakukuta bana yaani dahhhh ninge...ngoja niache thanx
 
mpendwa jizuie kuongea jambo ukiwa na hasira...utawapa faida wasohusika
 
NAWACHUKIA NAWACHUKIA NAWACHUKIA NAWACHUKIA MILELE SIWAPENDI

JF Ingeruhusu matusi nadhani hasira yangu ingeishia hapa leo.............ukoje wewe mwanaume upendweje?? Usaidiweje?? Ujaliweje?

Ngoja nika............oohh gooooshi nilale tu
Mtu asiniulize nini kimenikuta but nimeumizwa vya kutosha today nasema kilichonisibu
Pole Dena ndio maana nilikuandikia barua kuwa umeadimika hapa JF nilijua si bure.
 
Kwanini hamna huruma?
Kwanini hamthamini wanawake?
Kwanini hamna heshima na adabu?
Kwanini Hamthamini michango yetu kwenye familia??
Kwanini Mnamadharau?
Kwanini hamjali maumivu msababishayo kwa mkeo?
Kwanini hamjali hisia tulizonazo??
Kwanini mawasiliano mwanamke tu ndo aanze??
KWanini hamjali msaada mnaopewa??

NAWACHUKIA NAWACHUKIA NAWACHUKIA NAWACHUKIA MILELE SIWAPENDI

JF Ingeruhusu matusi nadhani hasira yangu ingeishia hapa leo.............ukoje wewe mwanaume upendweje?? Usaidiweje?? Ujaliweje?

Ngoja nika............oohh gooooshi nilale tu
Mtu asiniulize nini kimenikuta but nimeumizwa vya kutosha today nasema kilichonisibu

Pole sana DA...inaelekea umekwazika sana mpaka kutumia lugha ambayo sijawahi kukuona ukiitumia hapa jamvini.
 
Huyu kaja vibaya bana
Anaulizia hadi uwezekano wa kutukana JF kama ingeruhusiwa, yaani throu matusi hapa JF ndo angemaliza hasira zake
Mi ndo hapa sikubaliani nae hata kidogo
Tatizo halitatuliwi kwa matusi bana

CPU its better ukaondoka kwa hii thread naona kama waniongezea hasira vileeeeeeeeeeeeeeeeeee kindly i beg you to do that right??
 
Nakaona ka-Lizzy hapo chini. Sijui hakataki kuchangia leo....teh teh teh

Ooops...kumbe ndo kalikuwa katikati ya kutuma mchango wake. My bad..
Ushushu umeanza lini???!
Ndo maana mnachukiwa!!
 
Kukasirika kwa binadamu ni kawaida
Lakin yapaswa tudhibiti hasira zetu

Chukulia umekasirika hivyo, umeshindwa kujizuia then unaanza kutukana kila mwanaume, si unaweza kujikuta umemtukana hadi baba ako mzazi??
Kisa??? Hasira!!!!
Hasira hasara bana!!
 
Mama Mchungaji kula saluti kumi kwa mpigo was waiting for you
Nimekuja maana naona hawa kina Sipiyu nao wanakuongezea tu hasira!

Ila kweli kama kuna sehemu tulivu nenda ukajikalie na kutembea tembea kidogo akili yako itulie!Au kama unaweza hata kukimbia kidogo hua inasaidia sana kushusha munkari!!
 
Pole sana DA...inaelekea umekwazika sana mpaka kutumia lugha ambayo sijawahi kukuona ukiitumia hapa jamvini.

Yamenifika kooni BAK mpaka nataka kutapiga mtu hakuheshimu wala kukujali hata kidogo potelea mbali ngoja nitoe nyongo nisisikie kichefuchefu tena
 
CPU its better ukaondoka kwa hii thread naona kama waniongezea hasira vileeeeeeeeeeeeeeeeeee kindly i beg you to do that right??

Kama vipi nitukane tu, ikibidi nichukie.
Lakin niliyokueleza ndio msingi wa kuishi na watu vizuri

Siondoki, sitaondoka na wala sina mpango wa kuondoka ktk hii thread
Hasira gani hizo we mdada??? Heeeee!!
Huwezi hata kujishusha??
 
Kukasirika kwa binadamu ni kawaida
Lakin yapaswa tudhibiti hasira zetu

Chukulia umekasirika hivyo, umeshindwa kujizuia then unaanza kutukana kila mwanaume, si unaweza kujikuta umemtukana hadi baba ako mzazi??
Kisa??? Hasira!!!!
Hasira hasara bana!!

Sasa wewe badala ya kupoint out makosa ungemtuliza ili hizo hasira zipungue na hitaji la kutukana nalo litoweke.Sio kila kitu unachambua kifilosofia....wakati mwingine unachohitajika ni kumwambia tu mtu POLE...USIJALI...YATAPITA and the likes na sio unaanza na sijui hasira zisikuendeshe sijui mambo gani gani.
 
Nimekuja maana naona hawa kina Sipiyu nao wanakuongezea tu hasira!

Ila kweli kama kuna sehemu tulivu nenda ukajikalie na kutembea tembea kidogo akili yako itulie!Au kama unaweza hata kukimbia kidogo hua inasaidia sana kushusha munkari!!

Asante sana umemuona eehhh na amenianza to:majani7:ka juzi mie nanyamaza ngoja nitafute :confused2:sehemu ya kurelax maana nimejam kupita :confused2:maelezo
 
Back
Top Bottom