Nawachukia baadhi ya wanaume kuanzia leo

Nimeumizwa mara moja na nakuapia haitarudia tena! Nimejifunza sana.
 
Dena umefanya busara kuja zishushia hasira zako humu.
chukua ile glass kubwa kuliko zote. Jaza barafu na Kunywa maji baridi,...

Ukishamaliza (maji), haya uliyo-type hapa yaandike kwenye karatasi...
kisha ichane na u-flush chooni.

Chukua karatasi nyingine,...andika yote unayoamini unapaswa kufanyiwa.

- ungependa awe na huruma zipi
- ungependa akuthamini kivipi
- ungependa aonyeshe heshima na adabu zipi
- authamini vipi mchango wako kwenye familia
- ajiepushe vipi na madharau kwako
- aepuke vipi maumivu akusababishayo
- kivipi ajali hisia ulizonazo
- mawasiliano gani anayopaswa yeye pia ayaanzishe
- ajali vipi msaada unaompa

Ukishamaliza kuandika nijulishe nikwambie ufanye nini...
 
Thanks my dearest stay blessed
 
hahahaha. namtafuta tu ASHA D. she is a woman, am a man. she knows it

now what is this thread about? nauliza 2

Mbona wanipandisha hasira zilizoanza kushuka Kaizer??
 
Una busara sana let me do that right now
 
Reactions: Mbu
Pole dear I know what u r going through, kuna kipindi the same thing happened to me na niliapa haitarudia tena na kweli it never happened again, trust me weka moyoni maneno haya "haitakaa itokee tena" and it will never, stay blessed.
 
Haa haaa BB mi mwenyewe nilikua natabia hiyo kwa watu wajinsia zote sikijua nlikua nawakwaza kila mtu akawa ananilalamikia so vizuri, mtu atanitumia sms, mfano mambo nimekukumbuka my dear nilikuona jana nikakuita ila hukuskia, mi ntakacho mjibu POA hapo nakua nimemaliza sikujua na kwaza watu, ila kuna mtu na mimi kanifundisha adabu nikakoma kabisaaa.
Yani ntamtumia sms ntajieleza anajibu OK duh kumuuliza akasema wewe ndo umenifundisha duh nikakomaa, ina uma sana.
 
huyo aliyekuudhi ni mumeo?
kama uko ndoani,huwa kuna wakati unafikiria hayo ila sio siku zote...kuna siku atakuja na la kukufurahisha.
 
Pole dear I know what u r going through, kuna kipindi the same thing happened to me na niliapa haitarudia tena na kweli it never happened again, trust me weka moyoni maneno haya "haitakaa itokee tena" and it will never, stay blessed.

Thanx dear stay blessed
 
Mamushika kama sijakuelewa vileee:shut-mouth:
 
Pole sana, ila ingefaa ueleze kisa ili tujue jinsi ya kukupa mawazo maana hapa umelalamika tu na kujumuisha wanaume wote kama vile ulishatendewa na wanaume kadhaa kabla. Pole sana Dena!
 
Pole sana, ila ingefaa ueleze kisa ili tujue jinsi ya kukupa mawazo maana hapa umelalamika tu na kujumuisha wanaume wote kama vile ulishatendewa na wanaume kadhaa kabla. Pole sana Dena!

Rudia kusoma taito
 
Pole sana, ila ingefaa ueleze kisa ili tujue jinsi ya kukupa mawazo maana hapa umelalamika tu na kujumuisha wanaume wote kama vile ulishatendewa na wanaume kadhaa kabla. Pole sana Dena!

Ejogo soma katikati ya misitari sawa??

BTW: Thanks kwa ushauri
 
DA pole mpenzi..........huwa yanatokea...........lakini si kila siku mpendwa so be strong
 
Reactions: Mbu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…