Nawachukia baadhi ya wanaume kuanzia leo

Bora yame kukuta na wewe leo,
kumbe una umiaga pia eh?
Nilijua DA chuma cha pua

Oh,nimesahau,pole Da Dena
 
Reactions: Mbu

Haya, umesikika..
kisha nenda kamueleze mhusika, kama hauko tayari kumwambia, bora ukae kimya tu!
 
Kwa jinsi ulivoiandika hii thread hadi mi mwenyewe nikajikuta naumia! Pole mwaya just try 2b strong and think twice. Chuki haiondoi tatizo bali hujenga kauzibe flani hivi na kuongeza makwazo. Usimshutumu moja kwa moja chunguza kwanza nani ni source ya hayo matatizo yote, je ni wewe au yeye? Then ongea nae, hakuna kitu kizuri kama kuwa muwazi. We funguka tu mueleze bila kuficha hata kama ni kero anatakiwa akusikilize. Finally, stop blaming just move on... ups and down ni vitu vya kawaida!! Gud luck honey..
 

pole dear! Achana na huyo mkorofi, njoo kwangu upate pumziko!!
 
D.A...Mwanadada wa shoka...pole sana! Najua nimechelewa ila si kitu...sijui nianzie wapi ila frankly pamoja na kujaribu kucover kila kitu but kuna vitu vingine baadhi tunashindwa kwa bahati mbaya ama kudhani "ataelewa tu!

Nina huruma sana kwa mwandani wangu,nina mthamini na adabu tele namtunzia...naheshimu sana mchango wake ktk kunishape na kuniongoza katika vipaumbele vyangu na kamwe sikuwahi kumdharau!...lakini hili la mawasiliano nikiri kwamba wakati mwingi namsononesha nalo,si kwamba simjali lakini majukumu yangu kikazi yananifanya niweke cocentration kubwa kwenye kazi hadi namsahau mke wangu kipenzi...

Kwa niaba ya wanaume wengine wenye kuthamini hisia za wenza wao na wana sababu za msingi za kikazi zinazowafanya kuonekana hawaoneshi concern nichukue fursa hii kuomba radhi kwa mke wangu unayenijali sana na unayenipa sababu ya kuitwa mwanaume!
 



Dah, pole sana DA,
Kiukweli sijapata kukuona ukiwa na hasira hivi,
pole sana mpendwa!!!!!
 
hahahah lol
hivi kumbee mmhh
mi mzima kabisa dear..
Vipi we wandeleaje???

mi mzima kabisa dia,nashukuru ile habari ya cku ileeee tuliisolve. Thx to you and other jf members. Mwambie dena apige moyo konde amove on plz.
 

hata wao hawatakupenda wote. mwingine atakuona mwema na mzuri na mwingine atakuona mjeuri na mbayo pia. pia wewe waweza kuwa chanzo cha matatizo pia bila kujijua. watu watofautiana. mwingine anapenda kitu fulani na mwingine hakipendi. hapo ndiyo busara zatakiwa kama kuna nia ya kweli na upendo wa kweli pia.
 
AD,kumekucha,mzima ww?

Unaona AD,

Weningine tulishajua kuwa jana itakuwa night yake ya kukumbuka...Ni mambo ya kubembeleza hayo........LOL,

Naukumbuka sasa ule wimbo wetu mpya wa kubembeleza....
 
Hizi infidelity saa nyingne zinaleta matatizo sana.

Pole sana mwaego.
 
Umeingia choo cha haja ndogo cha wanaume,,kosa ni lako kushindwa kukojolea juu.
 
Dada hapo unadela na mtu aliyekuudhi makusudi. Piga moyo konde uone hayo matatizo yake ya kawaida. Ebu chunguza hayo aliyofanya leo ni mara ya kwanza? kama ndiyo zake kufanya hivyo mpe mgongo tu, atajiona pumbavu othewise huna njia.

**** mwana falsafa mmoja alisema hivi, huwezi kumfurahisha mtu ambaye hajawahi kufurahi toka tumboni mwa mama yake, au wewe hujawahi kufurahi then unanpretend eti unaweza kumfurahisha mtu.

Haya mambo ni vizazi na vizazi, kinachoweza kumaliza huu ushindani ni kuomba na kulaani tabia zilizokuwa adopted kutoka huko enzi hizo. Sasa wewe ulishawahi kufurahi? Kama ndivyo umemfurahisha mara ngapi huyo unayemlaumu?

Wish you well my dear, wanaume/wanawake ndiyo walivyo, mambo mengine unaweka pembeni huku ukiendelea kuomba muujiza utokee mfurahie maisha.
 
Ooops!
DA bila shaka naamin unazo nyingi busara...
Hebu naambie japo nkushauri....nani aliekuudhi kiasi hicho?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…