Nawachukia baadhi ya wanaume kuanzia leo

Nawachukia baadhi ya wanaume kuanzia leo

Dena Amsi

R I P
Joined
Aug 17, 2010
Posts
13,080
Reaction score
4,273
Kwanini hamna huruma?
Kwanini hamthamini wanawake?
Kwanini hamna heshima na adabu?
Kwanini Hamthamini michango yetu kwenye familia??
Kwanini Mnamadharau?
Kwanini hamjali maumivu msababishayo kwa mkeo?
Kwanini hamjali hisia tulizonazo??
Kwanini mawasiliano mwanamke tu ndo aanze??
KWanini hamjali msaada mnaopewa??

NAWACHUKIA NAWACHUKIA NAWACHUKIA NAWACHUKIA MILELE SIWAPENDI

JF Ingeruhusu matusi nadhani hasira yangu ingeishia hapa leo.............ukoje wewe mwanaume upendweje?? Usaidiweje?? Ujaliweje?

Ngoja nika............oohh gooooshi nilale tu
Mtu asiniulize nini kimenikuta but nimeumizwa vya kutosha today nasema kilichonisibu
 
Pole dena ila sio wote bwana.....umeingia cha kiume wewe.....Jipange tena kuanza round ya pili...
 
Hayo malalamiko yaweza kusemwa pia kuhusu "baadhi ya wanawake". Ubaya na uzuri uko kotekote.
 
yaani na utu uzima wote,unakubali kuingizwa chaka????:glasses-nerdy:
 
yaani na utu uzima wote,unakubali kuingizwa chaka????:glasses-nerdy:

We acha tuu ninaye miaka nenda rudi lakini amezidi sasa ananiudhi kupita maelezo hajali kabisa maumivu yangu m*** sna huyu jamaa na hasira leo naweza ua mtu
 
Kwanini hamna huruma?
Kwanini hamthamini wanawake?
Kwanini hamna heshima na adabu?
Kwanini Hamthamini michango yetu kwenye familia??
Kwanini Mnamadharau?
Kwanini hamjali maumivu msababishayo kwa mkeo?
Kwanini hamjali hisia tulizonazo??
Kwanini mawasiliano mwanamke tu ndo aanze??
KWanini hamjali msaada mnaopewa??

NAWACHUKIA NAWACHUKIA NAWACHUKIA NAWACHUKIA MILELE SIWAPENDI

JF Ingeruhusu matusi nadhani hasira yangu ingeishia hapa leo.............ukoje wewe mwanaume upendweje?? Usaidiweje?? Ujaliweje?

Ngoja nika............oohh gooooshi nilale tu
Mtu asiniulize nini kimenikuta but nimeumizwa vya kutosha today nasema kilichonisibu

Daaah!
Kakuumiza huko home halafu uje kumalizia hasira JF??
Sana sana tutakuona umechanganyikiwa na umeanza kudharau wanaJF
Hata hivyo pole.
Maisha ya mahusiano ni pamoja na kukabiliana na changamoto mbalimbali, hasa matatizo.
Pumzika, lala. Ukiamka hasira zitakuwa zimeshuka then utatafakari vizuri njia ya kutatua tatizo lako
Saa hizi naona una hasira tu, sumu imekujaa mpaka kwenye kucha za miguu
:madgrin::madgrin::madgrin:
 
  • Thanks
Reactions: EMT
pole sana dada yangu hayo ndio maisha.
ubaya na uzuri wa mahusiano ni kwamba huwezi jua uzuri wa mwanaume au mwanamke anaekutaka hadi uwe nae kimahusiano.
Piga moyo konde na zidi kusonga mbele.
Mungu akubariki upate mtu wa aina uipendayo.
lastly,jichunguze na wewe pia kwani waweza kuwa chanzo cha yeye kuwa hivyo.
 
Ungekuwa karibu ningekueleza kaniudhi balaa na hasira mpaka nataka kuzimia hapa nilipo mori umepanda mpaka basi acha tu

Lala mama, saa hizi sio wewe unaeongea.
 
Daaah!
Kakuumiza huko home halafu uje kumalizia hasira JF??
Sana sana tutakuona umechanganyikiwa na umeanza kudharau wanaJF
Hata hivyo pole.
Maisha ya mahusiano ni pamoja na kukabiliana na changamoto mbalimbali, hasa matatizo.
Pumzika, lala. Ukiamka hasira zitakuwa zimeshuka then utatafakari vizuri njia ya kutatua tatizo lako
Saa hizi naona una hasira tu, sumu imekujaa mpaka kwenye kucha za miguu
:madgrin::madgrin::madgrin:

Siamini kama haya maneno yametoka kwako

BTW: Thanx
 
pole sana dada yangu hayo ndio maisha.
ubaya na uzuri wa mahusiano ni kwamba huwezi jua uzuri wa mwanaume au mwanamke anaekutaka hadi uwe nae kimahusiano.
Piga moyo konde na zidi kusonga mbele.
Mungu akubariki upate mtu wa aina uipendayo.
lastly,jichunguze na wewe pia kwani waweza kuwa chanzo cha yeye kuwa hivyo.

Thanx Sangara
 
Niambie mzazi...habari yako ikoje leo?

Mi nipo fresh ndugu
Nilitegemea nikiingia humu msituni ningekuta utulivu, kumbee!!
Nashangaa kukuta kuna mdada anakimbia kimbia ovyo, huku akimchapa kofi kila anaemkuta njiani
 
Pole mpnz...jipumzikie au nenda sehemu ukapunge upepo urefresh akili yako!!

Sipiyu dah...kwani JF kazi yake nini kama sio sehemu ya kupoozana na kupeana mawazo!!
 
Nakaona ka-Lizzy hapo chini. Sijui hakataki kuchangia leo....teh teh teh

Ooops...kumbe ndo kalikuwa katikati ya kutuma mchango wake. My bad..
 
Siamini kama haya maneno yametoka kwako

BTW: Thanx

Usisome katikati ya mistari bana
Nimeongea hayo maneno makusudi kabisa, kwa sababu nataka nikutoe kwenye attention ya hizo hasira
Hasira si nzuri bana
Unajiongezea matatizo tu
 
Back
Top Bottom