Jaluo_Nyeupe
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 2,824
- 2,264
pole DA na punguza hasira. Tafuta kitu unachopenda zaidi ukifanye ili kupunguza hasira.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yamenifika kooni BAK mpaka nataka kutapika mtu hakuheshimu wala kukujali hata kidogo potelea mbali ngoja nitoe nyongo nisisikie kichefuchefu tena
Nimekuja maana naona hawa kina Sipiyu nao wanakuongezea tu hasira!
Ila kweli kama kuna sehemu tulivu nenda ukajikalie na kutembea tembea kidogo akili yako itulie!Au kama unaweza hata kukimbia kidogo hua inasaidia sana kushusha munkari!!
Sasa wewe badala ya kupoint out makosa ungemtuliza ili hizo hasira zipungue na hitaji la kutukana nalo litoweke.Sio kila kitu unachambua kifilosofia....wakati mwingine unachohitajika ni kumwambia tu mtu POLE...USIJALI...YATAPITA and the likes na sio unaanza na sijui hasira zisikuendeshe sijui mambo gani gani.
Ungekuwa karibu ningekueleza kaniudhi balaa na hasira mpaka nataka kuzimia hapa nilipo mori umepanda mpaka basi acha tu
Pole sana.inaelekea yameanza siku nyingi. Kama utakumbuka nilikutumia PM kukuuliza mbona umeadimika hivyo? Si ajabu ndio ulikuwa tayari katika wakati mgumu. Pole sana DA
Acha sifa basi mazeee...Hasira hazitamjenga, badala yake zitazidi kumbomoa
Kanitaka niondoke ktk hii thread lakin SITAONDOKA HATA
Kwanini hamna huruma?
Kwanini hamthamini wanawake?
Kwanini hamna heshima na adabu?
Kwanini Hamthamini michango yetu kwenye familia??
Kwanini Mnamadharau?
Kwanini hamjali maumivu msababishayo kwa mkeo?
Kwanini hamjali hisia tulizonazo??
Kwanini mawasiliano mwanamke tu ndo aanze??
KWanini hamjali msaada mnaopewa??
NAWACHUKIA NAWACHUKIA NAWACHUKIA NAWACHUKIA MILELE SIWAPENDI
JF Ingeruhusu matusi nadhani hasira yangu ingeishia hapa leo.............ukoje wewe mwanaume upendweje?? Usaidiweje?? Ujaliweje?
Ngoja nika............oohh gooooshi nilale tu
Mtu asiniulize nini kimenikuta but nimeumizwa vya kutosha today nasema kilichonisibu
Sasa wewe badala ya kupoint out makosa ungemtuliza ili hizo hasira zipungue na hitaji la kutukana nalo litoweke.Sio kila kitu unachambua kifilosofia....wakati mwingine unachohitajika ni kumwambia tu mtu POLE...USIJALI...YATAPITA and the likes na sio unaanza na sijui hasira zisikuendeshe sijui mambo gani gani.
Acha sifa basi mazeee...
Ingekua watu hatuhitaji kua na hasira once in a while Mungu angetunyima uwezo wa kukasirika.Sasa ye hasira zake anazimaliza kwa maneno yasiyomuumiza yeyote hapa...hapo tatizo liko wapi?!Kama hujagurahia anavyojiexpress mwache...kama ye inamsaidia. shida iko wapi?!
Karibu mpenzi...ningekua karibu mi ningekupa zoezi la kukutuliza kidogo!Ningekuwa karibu yako ningekufanyaje sijui umenisaidia kupunguza hasira nilizonazo leo. Thanks Baby Stay Blessed
Just let it be will ya......?Kitu gani nimechambua kifilosofia???
Kumwambia hasira hazifai ndo kumchambua kifilosofia?
Acha sifa basi mazeee...
Ingekua watu hatuhitaji kua na hasira once in a while Mungu angetunyima uwezo wa kukasirika.Sasa ye hasira zake anazimaliza kwa maneno yasiyomuumiza yeyote hapa...hapo tatizo liko wapi?!Kama hujagurahia anavyojiexpress mwache...kama ye inamsaidia. shida iko wapi?!
Just let it be will ya......?
pole swthat, wanaume ndivyo walivyo mwaya, hawabebeki, hawapendeki, hawana shukrani n.k. Tafuta mahal nenda kapumzishe akil, utapata sukar bure.