Nawachukia Sana wanawake wapiga mizinga

Nawachukia Sana wanawake wapiga mizinga

Sio wanawake tu hadi kuna wanaume wanapenda kulialia dah wanaukera

Mwanaume anapiga simu kama mwanamke yaani inakera
 
Wanaume tafuteni hela acheni kulalamika mapenzi ni kitu expensive sana, Sasa nyie mnapenda kitonga tu Yani buku tano unaaumia wakati wanaume wenzenu wanahonga Hadi magari, viwanja na hawalalamiki.
 
[emoji2][emoji2][emoji2]Mi nashauri wanaume wenzangu mademu wa dizaini hii unamla na tg ili kuwe na win win situation.[emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]

Wengine ndio starehe yao[emoji848][emoji2827]
Mkuu mbona maneno makali sana na we n miongon mwa mababu wa busara humu
 
Unaambiwa beby huyu si mwanao pia
Anakwambia "baby huyu ni mtoto ni malaika tu ukimuhudumia haina shida kwanza wewe ni kama baba yake pia muhudumie tu ukipenda boga penda na ua lake"

Vile mi nabaki namungalia huku yeye akiongea[emoji116]
Screenshot_20210928-110825.jpg
 
Mi ndo mana hela yangu haitoki kizembe, yan ni nipe nikupe, akitaka kula lazima aliwe.
Wadada wengi wamejaa utapeli, unaweza kujitutumua kutoa alafu mwisho wa siku anakwambia nina mtu nampenda sana, sasa si umuombe huyo shenz kabisa [emoji3][emoji3]
 
Wanaume tafuteni hela acheni kulalamika mapenzi ni kitu expensive sana, Sasa nyie mnapenda kitonga tu Yani buku tano unaaumia wakati wanaume wenzenu wanahonga Hadi magari, viwanja na hawalalamiki.
Wahonge tu wao kila mtu ana level zake😅 waacheni wahuni nao wachague size zao
 
[emoji2][emoji2][emoji2]Mi nashauri wanaume wenzangu mademu wa dizaini hii unamla na tg ili kuwe na win win situation.[emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]

Wengine ndio starehe yao[emoji848][emoji2827]
Sasa hapo kuna wengne unakuwa uwakomoi maana ndio michezo yao hio
 
Khaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamanii, hii notification sikuiona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tatizo langu moja tu, i am not pleased with money. Kila muda nasema, mwanamke asiyekupenda atakuomba mpk pumzi zako. Yaan hatokuacha upumzike. Atakuombaaaaaa mpk kerooo

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Acha uongo, na uhakika haya maandishi umeandika huku nafsi yako ikikusuta kwamba si kweli. Wengi wenu mnapenda pesa.
 
Ona sasa unavyolazimisha... nakuhakikishia, mwabamke anayekupenda hatokyomba hela. Yaana atakuelewa kila situation. Nikutangazie tu, sina njaa ndugu yangu za aina hiyo. Nina uhitaji wa fedha kwakua hela haijawahi kutosha lakini siyo z amfukoni mwa mtu ninayempenda. So usiforce wote tufanane.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Ona sasa unavyolazimisha... nakuhakikishia, mwabamke anayekupenda hatokyomba hela. Yaana atakuelewa kila situation. Nikutangazie tu, sina njaa ndugu yangu za aina hiyo. Nina uhitaji wa fedha kwakua hela haijawahi kutosha lakini siyo z amfukoni mwa mtu ninayempenda. So usiforce wote tufanane.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Wewe huyu huyu dunia simama nishuke wewe ndio wa kuandika haya kweli 😅
 
Back
Top Bottom