joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Hapo kwenye vicoba daah, usipokuwa makini kila wiki lazima mifuko ichanike,halafu akienda kuvunja vicoba humsikii basi akudanganye hata na soksi au leso unaona kimya.1[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuna kamoja kamenitumia mssg muda si mrefu kanaomba hela ya vicoba
Tofautisha harakati na wanaume kumkimbia majukumu Yao ya msingi wewe ule k ushindwe kuchangia hata sabuni ya kuosha k huo si uzwazwa jamani.Wacha weeee sasa 50/50 ipo wapi imnayoililia kila siku au inachagua baadhi vitu na maeneo, sometimes hawa wanawake wana harakati hawajui wanacho kipigania.
Ni kwamba wanaichukulia kuwa ni defensive mechanisim yao........na kweli unaweza kufululiziwa virungu mpaka akili ikakukaa sawaNa wengine hiyo ndio gia yao ya kuondowa usumbufu, unapigwa kirungu hurudi tena usumbufu unaishia hapo, siyo kila ukimuona mtoto wa watu yupo online tayari unademka, na wao wamepata njia mbadala ya kuondowa usumbufu.
Majukumu yako unayajua ww dada yangu, hebu niambie ww majukumu yako ya msingi ni yapi?Tofautisha harakati na wanaume kumkimbia majukumu Yao ya msingi wewe ule k ushindwe kuchangia hata sabuni ya kuosha k huo si uzwazwa jamani.
Hakika wewe ni legendMnawezaje kuwa na hamu na singo maza ase? Mi nilijichanganya mara moja akaanza kumfundisha mtoto wake aniite baba nilipambana hadi tukaachana na sitarudia tena kuwa na mahusiano na singo maza, wanaomba hela ya kuhudumia watoto wao bila aibu kama wewe ndo baba yake mtoto.