Mkuu Kamundu , you are not right!, huwezi kupima mvuto kwa tukio moja tena la majanga ya Kitaifa!.Nilikuwa najiuliza sana wanaposema mvuto wa Mama Samia umepunguwa nawaelewa vizuri sana wiki hii.
Wiki hii nimebahatika kuona video nne. Mama Samia akiwa Hanang akiongea kwenye jukwaa, video ya Mama Samia aliongea waathirika, Mbowe akiongea kwenye msiba wa Askofu na Lissu akiongea kwenye msiba wa Askofu.
Swali mmoja nimekuwa najiuliza kama kipimo cha uzalendo. Je Mama Samia anapenda nchi yake kuliko madaraka? Jibu langu mwanzoni alipoanza ilikuwa ndiyo sasa kalewa madaraka jibu ni hapana. Tuendelee kuombea nchi tupate viongozi wazalendo wenye upeo.
Anko Pasko, tunadanganyana kuhusu kuupima huo ukweli.Mkuu Kamundu , you are not right!, huwezi kupima mvuto kwa tukio moja tena la majanga ya Kitaifa!.
Na katika uzungumzaji huwezi kumlinganisha Mbowe, Lissu na Rais Samia, na ku conclude Rais Samia amepungua mvuto!.
Binadamu tumeumbwa tofauti na tuna different reactions kwenye majanga tofauti tofauti!. Niliangalia ile hotuba ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, uwanja wa taifa kuwapongeza makamanda baada ya kushinda vita vya Kagera,
Kwa kilichotokea ajali ya ndege vita, Mwalimu Nyerere alisimama na kushika tuu kichwa bila kusema lolote huku machozi yakimlenga!. Hivyo watu tofauti wana different reactions kwenye majanga tofauti, usitegemee hotuba ya Samia kwenye janga la Katesh iwe na mvuto sawa na Mbowe na Lissu!.
Vuta tuu subra, mivuto ya ukweli tutaipima 2025 October, kwa matokeo ya mivuto na sio kwa hisia kwenye majanga!.
P
Zuwena hajawahi kuwa na mvuto hata kwa mtoto wa chekechea,hata wanapenda kwenye mikutano yake wanaenda kushangaa mabunduki na ma vieite sio kumsikiliza yeye.Nilikuwa najiuliza sana wanaposema mvuto wa Mama Samia umepunguwa nawaelewa vizuri sana wiki hii.
Wiki hii nimebahatika kuona video nne. Mama Samia akiwa Hanang akiongea kwenye jukwaa, video ya Mama Samia aliongea waathirika, Mbowe akiongea kwenye msiba wa Askofu na Lissu akiongea kwenye msiba wa Askofu.
Haya matukio yalikuwa muhimu sana kwangu kwasababu kwenye wakati mgumu ndiyo tunaona utu. Kwa upande wa Mama kwanza mkutano wake ulijaa makada na mashati ya kijani wakati watu wa kule sio wapenda siasa na wanaweza kuchagua chama chochote kule. Pili amewekewa kapeti jekundu sehemu na mkutano wa majanga!. Pamoja na mawaziri kuwa vijana sijaona hata waziri mmoja alinyanyua jiwe au chochote kile. Kwa ujumla Raisi kabisa na team nzima yake imeonekana kulazimisha mahusiano ya watu hawakupata connection yeyote nao. Wakati wenzao kama Mbowe ameongea kwenye msiba na unaona kabisa watu wana connect naye na Lissu alikuwa anatoa stori yake binafsi na watu wana connect naye.
Tatizo kubwa la Mama Samia amekosa ile connection ambayo alikuwa nayo mwanzoni. Sasa hata mimi binafsi sioni kama yuko real tena badala yake kabaki kuwa mwanasiasa bila kuwa na utu kama mwanzo. Yule Samia wa kuongea na Mbowe, Lissu, katiba mpya, mwenye kutaka mabadiliko sasa kabaki mwanasiasa ambaye haonekani kama anayofanya au kutaka ni kwa faida ya taifa bali kwa faida ya chama, marafiki na familia. Hakuna mzalendo wa ukweli asiyetaka katiba mpya ambayo ni kwa manufaa ya nchi na sio mtu binafsi. Kama mtu haoni umuhimu wa katiba mpya basi hafai kwasababu kwanza kutokuelewa umuhimu ni tatizo lakini kikubwa ni kukataa kwa manufaa binafsi.
Swali mmoja nimekuwa najiuliza kama kipimo cha uzalendo. Je Mama Samia anapenda nchi yake kuliko madaraka? Jibu langu mwanzoni alipoanza ilikuwa ndiyo sasa kalewa madaraka jibu ni hapana. Tuendelee kuombea nchi tupate viongozi wazalendo wenye upeo.
"Na katika uzungumzaji huwezi kumlinganisha Mbowe, Lissu na Rais Samia", kumbukumbu yangu inanionesha Lissu na Mbowe wamewahi kusimama kwenye jukwaa la kugombea urais, huyo wenu mmh! Tunalazimishwa kuwa nae aligombea, wapi ni siri yenu.Mkuu Kamundu , you are not right!, huwezi kupima mvuto kwa tukio moja tena la majanga ya Kitaifa!.
Na katika uzungumzaji huwezi kumlinganisha Mbowe, Lissu na Rais Samia, na ku conclude Rais Samia amepungua mvuto!.
Binadamu tumeumbwa tofauti na tuna different reactions kwenye majanga tofauti tofauti!. Niliangalia ile hotuba ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, uwanja wa taifa kuwapongeza makamanda baada ya kushinda vita vya Kagera,
Kwa kilichotokea ajali ya ndege vita, Mwalimu Nyerere alisimama na kushika tuu kichwa bila kusema lolote huku machozi yakimlenga!. Hivyo watu tofauti wana different reactions kwenye majanga tofauti, usitegemee hotuba ya Samia kwenye janga la Katesh iwe na mvuto sawa na Mbowe na Lissu!.
Vuta tuu subra, mivuto ya ukweli tutaipima 2025 October, kwa matokeo ya mivuto na sio kwa hisia za kwenye majanga!.
P
Matokeo ya uchaguzi wa Tanzania hata siku moja hayawezi kuwa kipimo cha mvuto wa kiongozi sababu kwanza kuna watu hawatopiga kura wengi tu sababu wanajua hakuna mabadiliko,pili kwa kura hizo chache zitakazopigwa hazita tafsiri matakwa ya wananchi zitatafsiri matakwa ya wala nchi na mawakala wao.Mkuu Kamundu , you are not right!, huwezi kupima mvuto kwa tukio moja tena la majanga ya Kitaifa!.
Na katika uzungumzaji huwezi kumlinganisha Mbowe, Lissu na Rais Samia, na ku conclude Rais Samia amepungua mvuto!.
Binadamu tumeumbwa tofauti na tuna different reactions kwenye majanga tofauti tofauti!. Niliangalia ile hotuba ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, uwanja wa taifa kuwapongeza makamanda baada ya kushinda vita vya Kagera,
Kwa kilichotokea ajali ya ndege vita, Mwalimu Nyerere alisimama na kushika tuu kichwa bila kusema lolote huku machozi yakimlenga!. Hivyo watu tofauti wana different reactions kwenye majanga tofauti, usitegemee hotuba ya Samia kwenye janga la Katesh iwe na mvuto sawa na Mbowe na Lissu!.
Vuta tuu subra, mivuto ya ukweli tutaipima 2025 October, kwa matokeo ya mivuto na sio kwa hisia za kwenye majanga!.
P
Inasikitisha sanaMatokeo ya uchaguzi wa Tanzania hata siku moja hayawezi kuwa kipimo cha mvuto wa kiongozi sababu kwanza kuna watu hawatopiga kura wengi tu sababu wanajua hakuna mabadiliko,pili kwa kura hizo chache zitakazopigwa hazita tafsiri matakwa ya wananchi zitatafsiri matakwa ya wala nchi na mawakala wao.
Kupanda au kushuka mvuto wa Rais ni kitu cha kawaida ...na siyo kwa mama tu bali hata kwa marais wa nchi nyingine.Nilikuwa najiuliza sana wanaposema mvuto wa Mama Samia umepunguwa nawaelewa vizuri sana wiki hii.
Wiki hii nimebahatika kuona video nne. Mama Samia akiwa Hanang akiongea kwenye jukwaa, video ya Mama Samia aliongea waathirika, Mbowe akiongea kwenye msiba wa Askofu na Lissu akiongea kwenye msiba wa Askofu.
Haya matukio yalikuwa muhimu sana kwangu kwasababu kwenye wakati mgumu ndiyo tunaona utu. Kwa upande wa Mama kwanza mkutano wake ulijaa makada na mashati ya kijani wakati watu wa kule sio wapenda siasa na wanaweza kuchagua chama chochote kule. Pili amewekewa kapeti jekundu sehemu na mkutano wa majanga!. Pamoja na mawaziri kuwa vijana sijaona hata waziri mmoja alinyanyua jiwe au chochote kile. Kwa ujumla Raisi kabisa na team nzima yake imeonekana kulazimisha mahusiano ya watu hawakupata connection yeyote nao. Wakati wenzao kama Mbowe ameongea kwenye msiba na unaona kabisa watu wana connect naye na Lissu alikuwa anatoa stori yake binafsi na watu wana connect naye.
Tatizo kubwa la Mama Samia amekosa ile connection ambayo alikuwa nayo mwanzoni. Sasa hata mimi binafsi sioni kama yuko real tena badala yake kabaki kuwa mwanasiasa bila kuwa na utu kama mwanzo. Yule Samia wa kuongea na Mbowe, Lissu, katiba mpya, mwenye kutaka mabadiliko sasa kabaki mwanasiasa ambaye haonekani kama anayofanya au kutaka ni kwa faida ya taifa bali kwa faida ya chama, marafiki na familia. Hakuna mzalendo wa ukweli asiyetaka katiba mpya ambayo ni kwa manufaa ya nchi na sio mtu binafsi. Kama mtu haoni umuhimu wa katiba mpya basi hafai kwasababu kwanza kutokuelewa umuhimu ni tatizo lakini kikubwa ni kukataa kwa manufaa binafsi.
Swali mmoja nimekuwa najiuliza kama kipimo cha uzalendo. Je Mama Samia anapenda nchi yake kuliko madaraka? Jibu langu mwanzoni alipoanza ilikuwa ndiyo sasa kalewa madaraka jibu ni hapana. Tuendelee kuombea nchi tupate viongozi wazalendo wenye upeo.
CHADEMA! Mtasubiri saana!Nilikuwa najiuliza sana wanaposema mvuto wa Mama Samia umepunguwa nawaelewa vizuri sana wiki hii.