Magwanda yanaashilia nini kwenye msiba na matukio ya maafa? Umehudhulia tukio au umekuja kujionesha na kupiga kiki?Mkuu Kamundu , you are not right!, huwezi kupima mvuto kwa tukio moja tena la majanga ya Kitaifa!.
Na katika uzungumzaji huwezi kumlinganisha Mbowe, Lissu na Rais Samia, na ku conclude Rais Samia amepungua mvuto!.
Binadamu tumeumbwa tofauti na tuna different reactions kwenye majanga tofauti tofauti!. Niliangalia ile hotuba ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, uwanja wa taifa kuwapongeza makamanda baada ya kushinda vita vya Kagera,
Kwa kilichotokea ajali ya ndege vita, Mwalimu Nyerere alisimama na kushika tuu kichwa bila kusema lolote huku machozi yakimlenga!. Hivyo watu tofauti wana different reactions kwenye majanga tofauti, usitegemee hotuba ya Samia kwenye janga la Katesh iwe na mvuto sawa na Mbowe na Lissu!.
Vuta tuu subra, mivuto ya ukweli tutaipima 2025 October, kwa matokeo ya mivuto na sio kwa hisia za kwenye majanga!.
P
Wanaokujua wanakujua,wasiokujua hawakujui, manguo ya vyama vya siasa!!!!! kwa hilo wamekosea