Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Tangu lini alikuwa na mvuto? sisi tulisema mapema kuwa hana mvuto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa na gundu hata ujikombe vipi u- dc utausikua tu.Mkuu Kamundu , you are not right!, huwezi kupima mvuto kwa tukio moja tena la majanga ya Kitaifa!.
Na katika uzungumzaji huwezi kumlinganisha Mbowe, Lissu na Rais Samia, na ku conclude Rais Samia amepungua mvuto!.
Binadamu tumeumbwa tofauti na tuna different reactions kwenye majanga tofauti tofauti!. Niliangalia ile hotuba ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, uwanja wa taifa kuwapongeza makamanda baada ya kushinda vita vya Kagera,
Kwa kilichotokea ajali ya ndege vita, Mwalimu Nyerere alisimama na kushika tuu kichwa bila kusema lolote huku machozi yakimlenga!. Hivyo watu tofauti wana different reactions kwenye majanga tofauti, usitegemee hotuba ya Samia kwenye janga la Katesh iwe na mvuto sawa na Mbowe na Lissu!.
Vuta tuu subra, mivuto ya ukweli tutaipima 2025 October, kwa matokeo ya mivuto na sio kwa hisia za kwenye majanga!.
P
Ukishindwa hoja utabuni hoja mbadala.Wanaowasikiliza Mbowe na Lisu wanaenda kusikiliza matusi.
Nilikuwa najiuliza sana wanaposema mvuto wa Mama Samia umepunguwa nawaelewa vizuri sana wiki hii.
Wiki hii nimebahatika kuona video nne. Mama Samia akiwa Hanang akiongea kwenye jukwaa, video ya Mama Samia aliongea waathirika, Mbowe akiongea kwenye msiba wa Askofu na Lissu akiongea kwenye msiba wa Askofu.
Haya matukio yalikuwa muhimu sana kwangu kwasababu kwenye wakati mgumu ndiyo tunaona utu. Kwa upande wa Mama kwanza mkutano wake ulijaa makada na mashati ya kijani wakati watu wa kule sio wapenda siasa na wanaweza kuchagua chama chochote kule.
Pili amewekewa kapeti jekundu sehemu na mkutano wa majanga!. Pamoja na mawaziri kuwa vijana sijaona hata waziri mmoja alinyanyua jiwe au chochote kile.
Kwa ujumla Raisi kabisa na team nzima yake imeonekana kulazimisha mahusiano ya watu hawakupata connection yeyote nao. Wakati wenzao kama Mbowe ameongea kwenye msiba na unaona kabisa watu wana connect naye na Lissu alikuwa anatoa stori yake binafsi na watu wana connect naye.
Tatizo kubwa la Mama Samia amekosa ile connection ambayo alikuwa nayo mwanzoni. Sasa hata mimi binafsi sioni kama yuko real tena badala yake kabaki kuwa mwanasiasa bila kuwa na utu kama mwanzo.
Yule Samia wa kuongea na Mbowe, Lissu, katiba mpya, mwenye kutaka mabadiliko sasa kabaki mwanasiasa ambaye haonekani kama anayofanya au kutaka ni kwa faida ya taifa bali kwa faida ya chama, marafiki na familia.
Hakuna mzalendo wa ukweli asiyetaka katiba mpya ambayo ni kwa manufaa ya nchi na sio mtu binafsi. Kama mtu haoni umuhimu wa katiba mpya basi hafai kwasababu kwanza kutokuelewa umuhimu ni tatizo lakini kikubwa ni kukataa kwa manufaa binafsi.
Swali mmoja nimekuwa najiuliza kama kipimo cha uzalendo. Je Mama Samia anapenda nchi yake kuliko madaraka? Jibu langu mwanzoni alipoanza ilikuwa ndiyo sasa kalewa madaraka jibu ni hapana. Tuendelee kuombea nchi tupate viongozi wazalendo wenye upeo.
Umezungumza kama mpambe kuliko kuwa kama mchambuzi makini.Mkuu Kamundu , you are not right!, huwezi kupima mvuto kwa tukio moja tena la majanga ya Kitaifa!.
Na katika uzungumzaji huwezi kumlinganisha Mbowe, Lissu na Rais Samia, na ku conclude Rais Samia amepungua mvuto!.
Binadamu tumeumbwa tofauti na tuna different reactions kwenye majanga tofauti tofauti!. Niliangalia ile hotuba ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, uwanja wa taifa kuwapongeza makamanda baada ya kushinda vita vya Kagera,
Kwa kilichotokea ajali ya ndege vita, Mwalimu Nyerere alisimama na kushika tuu kichwa bila kusema lolote huku machozi yakimlenga!. Hivyo watu tofauti wana different reactions kwenye majanga tofauti, usitegemee hotuba ya Samia kwenye janga la Katesh iwe na mvuto sawa na Mbowe na Lissu!.
Vuta tuu subra, mivuto ya ukweli tutaipima 2025 October, kwa matokeo ya mivuto na sio kwa hisia za kwenye majanga!.
P
Ukiwa mjinga unaropoka chochote tu. Haya tueleze matusi waliyoyatoa huko Hanang.Wanaowasikiliza Mbowe na Lisu wanaenda kusikiliza matusi.
Poor argument.Wewe una makengeza ktk akili yako! Mbowe yupi au Lissu yupi wa kumshinda Rais Samia mvuto?!
Ona CHADEMA walivyo na viongozi wapumbavu! Janga la Hanang limetokea lini? Mbowe na CHADEMA walikuwa wamekaa wanakunywa konyagi tu, lakini walipoona jana Rais Samia anaenda Hanang nao wanalazimisha kwenda jana hiyo hiyo!!!
CHADEMA Ina viongozi mapimbi sana, hawajui hata protocol ni kupenda siasa za confrotation (political confrotation) tu wakidhani inaweza kuwafanya kuwa relevant?!
CHADEMA haina organization structure inayoeleweka! Kila kitu kinaanzia na kuishia kwa Mbowe!
Hawana vitengo vinavyoeleweka, jambo kama janga la HANANG kwa Chama makini , Mwenyekiti Mbowe hakupaswa kuwa " Figure Head" wa kuratibu michango kwa waathirika!
Michango inapitia Line ya simu ya mtu ( amejificha kwa jina ja CHADEMA HQ)!
Hivi huyo "CHADEMA HQ" ni nani na legal status yake ikoje na akitafuna hiyo michango kama zilivyotafunwa za Join the Chain anaweza kuwa held accountable namna gani?
CHADEMA Haina account za Banks ambazo watu wanaweza ku- verify michango yao?!
CHADEMA ni Chama kilichochoka sana ki fikra , mtazamo na mienendo!!
Magufuli alisababisha watu waanze kuvaa nguo za CCM hadharani kwa majigambo; kuna hatari nguo za CCM zikaanza kuzomewa tena kama ilivyokuwa wakati wa Kikwete.
Huyu hakustahili hata kuwa makamu wa rais sasa ghafla amekuwa rais! Ghafla amejizungushia na machawa wanaomsifia kuwa haijawahi kutokea rais kama yeye, analewa madaraka kupindukiaNilikuwa najiuliza sana wanaposema mvuto wa Mama Samia umepunguwa nawaelewa vizuri sana wiki hii.
Wiki hii nimebahatika kuona video nne. Mama Samia akiwa Hanang akiongea kwenye jukwaa, video ya Mama Samia aliongea waathirika, Mbowe akiongea kwenye msiba wa Askofu na Lissu akiongea kwenye msiba wa Askofu.
Haya matukio yalikuwa muhimu sana kwangu kwasababu kwenye wakati mgumu ndiyo tunaona utu. Kwa upande wa Mama kwanza mkutano wake ulijaa makada na mashati ya kijani wakati watu wa kule sio wapenda siasa na wanaweza kuchagua chama chochote kule.
Pili amewekewa kapeti jekundu sehemu na mkutano wa majanga!. Pamoja na mawaziri kuwa vijana sijaona hata waziri mmoja alinyanyua jiwe au chochote kile.
Kwa ujumla Raisi kabisa na team nzima yake imeonekana kulazimisha mahusiano ya watu hawakupata connection yeyote nao. Wakati wenzao kama Mbowe ameongea kwenye msiba na unaona kabisa watu wana connect naye na Lissu alikuwa anatoa stori yake binafsi na watu wana connect naye.
Tatizo kubwa la Mama Samia amekosa ile connection ambayo alikuwa nayo mwanzoni. Sasa hata mimi binafsi sioni kama yuko real tena badala yake kabaki kuwa mwanasiasa bila kuwa na utu kama mwanzo.
Yule Samia wa kuongea na Mbowe, Lissu, katiba mpya, mwenye kutaka mabadiliko sasa kabaki mwanasiasa ambaye haonekani kama anayofanya au kutaka ni kwa faida ya taifa bali kwa faida ya chama, marafiki na familia.
Hakuna mzalendo wa ukweli asiyetaka katiba mpya ambayo ni kwa manufaa ya nchi na sio mtu binafsi. Kama mtu haoni umuhimu wa katiba mpya basi hafai kwasababu kwanza kutokuelewa umuhimu ni tatizo lakini kikubwa ni kukataa kwa manufaa binafsi.
Swali mmoja nimekuwa najiuliza kama kipimo cha uzalendo. Je Mama Samia anapenda nchi yake kuliko madaraka? Jibu langu mwanzoni alipoanza ilikuwa ndiyo sasa kalewa madaraka jibu ni hapana. Tuendelee kuombea nchi tupate viongozi wazalendo wenye upeo.
Unasubirije uchaguzi wa 2015 ndio kiwe kipimo na unajua kabisa hatujawahi kuwa na uchaguzi huru na wa haki tangu 1995.Mkuu Kamundu , you are not right!, huwezi kupima mvuto kwa tukio moja tena la majanga ya Kitaifa!.
Na katika uzungumzaji huwezi kumlinganisha Mbowe, Lissu na Rais Samia, na ku conclude Rais Samia amepungua mvuto!.
Binadamu tumeumbwa tofauti na tuna different reactions kwenye majanga tofauti tofauti!. Niliangalia ile hotuba ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, uwanja wa taifa kuwapongeza makamanda baada ya kushinda vita vya Kagera,
Kwa kilichotokea ajali ya ndege vita, Mwalimu Nyerere alisimama na kushika tuu kichwa bila kusema lolote huku machozi yakimlenga!. Hivyo watu tofauti wana different reactions kwenye majanga tofauti, usitegemee hotuba ya Samia kwenye janga la Katesh iwe na mvuto sawa na Mbowe na Lissu!.
Vuta tuu subra, mivuto ya ukweli tutaipima 2025 October, kwa matokeo ya mivuto na sio kwa hisia za kwenye majanga!.
P
Wewe ndo low IQ, hujui hata janga lilipotokea Rais Samia alikuwa wapi!Poor argument.
Ratiba ya kwenda kuwapa pole wahanga inaisha lini? Mbona humlaumu Rais aliyeenda jana wakati yeye ana kila kitu kuanzia logistics za kufika mpaka resources? Mbona hakufika mara baada ya janga kutokea?. Wewe unataka uwapangie watu tarehe ya kufika wakati hao watu namna ya kufika na pole kwa waathirika, mpaka wachangishe.
Tatizo letu, wengi wa watu wetu uwezo wa akili ni mdogo sana, ndiyo maana unakuta kwenye huu mchango wako, reasoning ni minimum. Wewe lazima ni very low IQ. Uliyo nayo ni ile tu kukuwezesha kula, kuvaa na kutembea.
Mimi binafsi hata nikisikia Mheshimiwa Rais Samia Suluhu yupo mtaani kwangu siwezi kupata hamasa ya kwenda kumsikilizaMkuu Kamundu , you are not right!, huwezi kupima mvuto kwa tukio moja tena la majanga ya Kitaifa!.
Na katika uzungumzaji huwezi kumlinganisha Mbowe, Lissu na Rais Samia, na ku conclude Rais Samia amepungua mvuto!.
Binadamu tumeumbwa tofauti na tuna different reactions kwenye majanga tofauti tofauti!. Niliangalia ile hotuba ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, uwanja wa taifa kuwapongeza makamanda baada ya kushinda vita vya Kagera,
Kwa kilichotokea ajali ya ndege vita, Mwalimu Nyerere alisimama na kushika tuu kichwa bila kusema lolote huku machozi yakimlenga!. Hivyo watu tofauti wana different reactions kwenye majanga tofauti, usitegemee hotuba ya Samia kwenye janga la Katesh iwe na mvuto sawa na Mbowe na Lissu!.
Vuta tuu subra, mivuto ya ukweli tutaipima 2025 October, kwa matokeo ya mivuto na sio kwa hisia za kwenye majanga!.
P
Paskali,Mkuu Kamundu , you are not right!, huwezi kupima mvuto kwa tukio moja tena la majanga ya Kitaifa!.
Na katika uzungumzaji huwezi kumlinganisha Mbowe, Lissu na Rais Samia, na ku conclude Rais Samia amepungua mvuto!.
Binadamu tumeumbwa tofauti na tuna different reactions kwenye majanga tofauti tofauti!. Niliangalia ile hotuba ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, uwanja wa taifa kuwapongeza makamanda baada ya kushinda vita vya Kagera,
Kwa kilichotokea ajali ya ndege vita, Mwalimu Nyerere alisimama na kushika tuu kichwa bila kusema lolote huku machozi yakimlenga!. Hivyo watu tofauti wana different reactions kwenye majanga tofauti, usitegemee hotuba ya Samia kwenye janga la Katesh iwe na mvuto sawa na Mbowe na Lissu!.
Vuta tuu subra, mivuto ya ukweli tutaipima 2025 October, kwa matokeo ya mivuto na sio kwa hisia za kwenye majanga!.
P
Shida ya ccm kila jambo huwa wanalifanya la chama, kuna watu hawapendi hata kuyaona hayo maguo yao.
KIONGOZI MZALENDO HAWEZI KUTOKA CCM.Nilikuwa najiuliza sana wanaposema mvuto wa Mama Samia umepunguwa nawaelewa vizuri sana wiki hii.