Nawaelewa sasa “Mvuto wa Rais kupungua“

Magwanda yanaashilia nini kwenye msiba na matukio ya maafa? Umehudhulia tukio au umekuja kujionesha na kupiga kiki?
Wanaokujua wanakujua,wasiokujua hawakujui, manguo ya vyama vya siasa!!!!! kwa hilo wamekosea
 
Afu kiufupi hotuba yake ya katesh zijaielewa kabisa yaan haikuwa na muunganiko mzuri wa maneno pia haikuwa na maneno mazuri ya faraja

Yaan kaongea kama wanasayans na sio mwana art
 
Kwa ujumla Raisi kabisa na team nzima yake imeonekana kulazimisha mahusiano ya watu hawakupata connection yeyote nao. Wakati wenzao kama Mbowe ameongea kwenye msiba na unaona kabisa watu wana connect naye na Lissu alikuwa anatoa stori yake binafsi na watu wana connect naye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo sio yeye,ccm mfumo unakumeza jombaa.Mama angeendelea na alivoanza ingekua poa sana ila kwasasa anawaza 2025 ndio maana kawarudisha kina bashite
 
Hana cha kupoteza Samia. Anaweza kwenda sehemu wakasombwa wavaa kijani wakaigiza kumshangilia mpk shughuli ikaisha.

Kwake yeye Samia anachotaka ni kukalia kiti cha ikulu. Atatumia vyombo vya dola kufanikisha hili na ni dhahiri atafanikiwa.

Kwa uzuzu, ukondoo na unyani uliopo vichwani mwa watanzania ccm itatawala miaka 100 ijayo
 
Tangu lini alikuwa na mvuto? sisi tulisema mapema kuwa hana mvuto
Mnaonglea mvuto gani?
1. Sura?..si huwa amejifunika?
2. Umbo labda? Mnalionea wapi?
3. Mvuto wa kuongea?...mipasho labda?
4. Sera nzuri za uchumi? Tozo??

Mvuto kwa lipi hasa...kubandikwa nchi nzima?

Kudifiwa na machawa?
Kuwa angani kila siku?
 
Mnaonglea mvuto gani?
1. Sura?..si huwa amejifunika?
2. Umbo labda? Mnalionea wapi?
3. Mvuto wa kuongea?...mipasho labda?
4. Sera nzuri za uchumi? Tozo??

Mvuto kwa lipi hasa...kubandikwa nchi nzima?

Kudifiwa na machawa?
Kuwa angani kila siku?
Hakuna mtu hapo
 
Walijua Mbowe ata overide game.
 
Ni kweli kwa sababu ma Rais huwa hawachaguliwi na wananchi bali wanateuliwa na mamlaka
 
Huna akili
 
Bandari ndiyo ilimzika kabisa.
 
P,

Nilichosema ni fikra za watu na kwenye siasa mvuto na connection ni muhimu na sasa bahati mbaya Mama yetu Samia anaipoteza polepole kwasababu mwanzoni alikuwa anasema kutoka moyoni na kufanya kutoka moyoni. Inaelekea sasa washauri wamepata masikio yake na wanapanga kila kitu kwa manufaa ya chama na yeye binafsi bila kujali maslahi mapana ya nchi. Uzuri wa Utu haufichiki na kikubwa hapo sio kwamba Mama hawawezi kujirudi lakini kwa mara ya kwanza hata mimi nimeona tofauti ya mtu kuwa connected na mtu kutokuwa connected. Mfano hata tukimwacha Mama hawa wasaidizi kuweka red carpet kwenye sehemu ya majanga haiji akilini!!. Mawaziri vijana tukitakiwa kuwaona kwenye mabuti badala yake wamevaa kama mabibi na mabwana harusi!!!. Na mimi kama unavyojua ni mtetezi mkubwa sana Mama Samia na nimempigania hapa sana lakini mimi niko fair sina chama wala agenda zaidi ya kutaka nchi yetu iende mbali zaidi. Nafikiri Assessment yangu ni fair
 
Umeunena uhalisia na ukweli mtupu. Samia wa sasa ni wa kupigania madaraka yake binafsi, wapambe na familia yake, kuliko maslahi ya Taifa. Kwa sasa hana chembe ya uzalendo. Waovu na wahubi wamefanikiwa kumbadilisha na kumshika vilivyo.

Naunga mkono maana huu ndiyo ukweli. Huwezi kuwa Mzalendo eti na kila mtu kasema katiba ni muhimu wewe unasema baadae maana yake unajali madaraka kwanza uzalendo baadae!!
 


Naunga mkono hoja
 


Tatizo URaisi ni muhimu sana kwa taifa maana ni taasisi sio mtu tu
 
True true.
P
 
Hili neno!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…