Nawaelewa sasa “Mvuto wa Rais kupungua“

Tatizo kubwa la Mama Samia amekosa ile connection ambayo alikuwa nayo mwanzoni. Sasa hata mimi binafsi sioni kama yuko real tena badala yake kabaki kuwa mwanasiasa bila kuwa na utu kama mwanzo.

KILA KITU UMEKIWEKA HAPA.
 
maccm ni janga la taifa hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…