Nawafafanulia vipi wanaodhani Iran na vikundi vyake wanashinda vita wakati Israel inanyakua vichwa vingi vya viongozi wa juu?

Nawafafanulia vipi wanaodhani Iran na vikundi vyake wanashinda vita wakati Israel inanyakua vichwa vingi vya viongozi wa juu?

Pumzi inakupa kibri sana, je wale waliokufa kwenye ajali za hivi karibuni na wengine wamekufa kwa heart attack walijua siku hiyo watakufa! Hivyo usijisahau ukajua hutakufa.
Sasa pumzi ina uhusiano gani na tapeli allah?
 
Sasa kama unakaa juu unapiga chini mabomu tu mpaka raia kwanini watu wasiseme?
Unapoambiwa hivyo vikundi vinatumia raia kama ngao uwe unaelewa

Israel imejenga mahandaki kulinda raia dhidi ya makombora yanayorushwa na Hamas, Iran, Hezbollah, houthi, n.k

Hezbollah, Hamas, Houthi, Iran wanajenga mahandaki kujificha wao hawathamini maisha ya raia wengine, Israel inaendelea kuwatungua humo humo kwenye mahandaki
 
Vita Haina mshindi....
Unajua Israel amepata hasara gani kiuchumi kuanzia mwanzo wa vita? Kama haujui Israel Kwa Sasa maisha yamekua magumu kutokana na kutopatikana Kwa bidhaa Tosha punde tu mashambulizi yalipoanza Red sea.
Kama haujui Israel akishambulia tu Iran nao wakajibu mapigo Kwa vita rasmi, basi na uchaguzi wa Marekani umeharibika(hii hauwezi kuijua).
 
Nam, umeniita?

Tatizo nni?
Israel wanamudu vipi kula vichwa vingi vya wakuu kiasi hiki ?

Kwanini Hezbollah, Hamas, n.k. wanajenga mahandaki kujificha wao wakati Israel inajenga mahandaki kwajili ya raia ?
 
Vita Haina mshindi....
Unajua Israel amepata hasara gani kiuchumi kuanzia mwanzo wa vita? Kama haujui Israel Kwa Sasa maisha yamekua magumu kutokana na kutopatikana Kwa bidhaa Tosha punde tu mashambulizi yalipoanza Red sea.
Kama haujui Israel akishambulia tu Iran nao wakajibu mapigo Kwa vita rasmi, basi na uchaguzi wa Marekani umeharibika(hii hauwezi kuijua).
Punguza story za vijiwe vya ghahawa na kashata.

Gaza inapewa chakula, dawa na misaada mingi kwa ufadhili wa Israel na umoja wa mataifa,

Nakupa facts kutoka IMF shirika la fedha duniani, Israel ni nchi ya pili kwa uchumi Mashariki ya kati, kwa mwaka huu wana uchumi wa dola bilioni 530 (Shilingi Trilioni elfu moja na 400)

1728399059447.png
 
Hiyo siyo issue Kwa mhayudi mhimu magaidi waishe Ili amani itawale na safari hii wamedhamiria
 
Hiyo siyo issue Kwa mhayudi mhimu magaidi waishe Ili amani itawale na safari hii wamedhamiria
Ugaidi haujawahi kuisha .....
Taliban ni kundi la kigaidi lakini ndilo linaongoza mamlaka Afghanistan. Je Marekani aliwaachia magaidi nchi au alikimbia vita.
 
Punguza story za vijiwe vya ghahawa na kashata.

Gaza inapewa chakula, dawa na misaada mingi kwa ufadhili wa Israel na umoja wa mataifa,

Nakupa facts kutoka IMF shirika la fedha duniani, Israel ni nchi ya pili kwa uchumi Mashariki ya kati, kwa mwaka huu wana uchumi wa dola bilioni 530 (Shilingi Trilioni elfu moja na 400)

View attachment 3119064
Sijazugumzia kuhusu ubabe wa kiuchumi wa Israel. Nimeongelea juu ya vita ilivyo disturb supply chain ya bidhaa kwenda Israel kupitia red sea. Unaweza ukawa na pesa lakini bidhaa ni chache.
 
Sijazugumzia kuhusu ubabe wa kiuchumi wa Israel. Nimeongelea juu ya vita ilivyo disturb supply chain ya bidhaa kwenda Israel kupitia red sea. Unaweza ukawa na pesa lakini bidhaa ni chache.
Tangaza basi Yahudi kashindwa vita 🎤
 
Mwaka Sasa umepita Bado anachuana na HAMAS tena ndani ya eneo ndogo, vipi atawezana na Iran nchi mojawapo yenye uwezo wa kijeshi mashariki ya kati.
Waziri wa mambo ya nnje wa Iran akiwa Saudia ameshasema wapo tayari Kwa mchezo wotewote ambao Israel atataka uchezwe na Kwa muda wowote, ila wao hawataki vita.
 
Wao husema wanakipenda kifo kama ilivyo kwa watu wa kawaoda wanavyothamini uhai, ajabu ni kwamba Israel ikitungua viongozi wakuu kuna vilio na misagano ya meno.

Israel inaendelea kula vichwa vya viongozi wakubwa kwa spid ya ajabu, Pamoja na kujificha kwenye mahandaki yenye zege zito, Israel inawafikia kunako

Viongozi wote wa juu wa Hezbollah wameliwa vichwa, Wiki iliyopita walimla kichwa kiongozi wa Hezbollah, wiki hio hio wakamla kichwa alietaka kuichukua nafasi hio, Leo hii wamekula kichwa cha Kamanda mkuu wa isafirishaji ndani ya Hebollah,

View attachment 3119006

Huko Iran ngome kuu, Rais alitunguliwa kwenye helikopta, wiki hii wamekula kichwa kingine cha kamanda mkuu wa Quds kitengo cha jeshi kikubwa zaidi Iran.

Viongozi kibao wa Hamas wameliwa vichwa akiwemo kamanda mkuu alietegewa bomu chini ya kitanda akiwa ikulu ndogo ya Iran yenye ulinzi wa special forces akisubiria uapisho wa rais mpya.
Ushindi wa vita ni kutimiza malengo sio umeuwa nani na nani au umeua wangapi.
 
Unapoambiwa hivyo vikundi vinatumia raia kama ngao uwe unaelewa

Israel imejenga mahandaki kulinda raia dhidi ya makombora yanayorushwa na Hamas, Iran, Hezbollah, houthi, n.k

Hezbollah, Hamas, Houthi, Iran wanajenga mahandaki kujificha wao hawathamini maisha ya raia wengine, Israel inaendelea kuwatungua humo humo kwenye mahandaki
Hivi ni vikundi sio jeshi rasmi haviwezi kuwa sawa na jeshi la nchi husika
 
Wao husema wanakipenda kifo kama ilivyo kwa watu wa kawaoda wanavyothamini uhai, ajabu ni kwamba Israel ikitungua viongozi wakuu kuna vilio na misagano ya meno.

Israel inaendelea kula vichwa vya viongozi wakubwa kwa spid ya ajabu, Pamoja na kujificha kwenye mahandaki yenye zege zito, Israel inawafikia kunako

Viongozi wote wa juu wa Hezbollah wameliwa vichwa, Wiki iliyopita walimla kichwa kiongozi wa Hezbollah, wiki hio hio wakamla kichwa alietaka kuichukua nafasi hio, Leo hii wamekula kichwa cha Kamanda mkuu wa isafirishaji ndani ya Hebollah,

View attachment 3119006

Huko Iran ngome kuu, Rais alitunguliwa kwenye helikopta, wiki hii wamekula kichwa kingine cha kamanda mkuu wa Quds kitengo cha jeshi kikubwa zaidi Iran.

Viongozi kibao wa Hamas wameliwa vichwa akiwemo kamanda mkuu alietegewa bomu chini ya kitanda akiwa ikulu ndogo ya Iran yenye ulinzi wa special forces akisubiria uapisho wa rais mpya.

Yaani wewe na wayahudi wenyewe unaumia zaidi wewe ??

Msome myahudi huyu kaandika nini kwenye gazeti lao

Soma hii hapa wameandika wenyewe

“Israel Takes Its Last Breath”

Under this headline, the Hebrew newspaper “Haaretz” was published with an article by the famous Zionist writer Ari Shavit, in which he states:

It seems that we are facing the most difficult people in history, and there is no other solution but to recognize their rights and end the occupation.

Shavit begins his article by saying:

It appears we have passed the point of no return, and it may be that “Israel” can no longer end the occupation, stop colonization, or achieve peace. It seems impossible to reform Zionism, save democracy, and divide the people of this land.

He added:
If the situation is as it is, then:

• There is no reason to live in this country.
• There is no reason to write in “Haaretz.”
• There is no reason to read “Haaretz.”

We must follow what Rogel Alpher suggested two years ago—leave the country… If “Israelism” and Jewishness are no longer a vital part of one’s identity, and if every Israeli citizen holds a foreign passport, not only technically but psychologically, then it’s over. We should say goodbye to our friends and move to San Francisco, Berlin, or Paris.

From there, from the land of new German nationalism or new American nationalism, we should calmly watch as the “State of Israel” takes its last breath.

We must take three steps back and watch the Jewish democratic state sink.

Perhaps the issue is not yet resolved.

Perhaps we have not yet passed the point of no return.

Perhaps it is still possible to end the occupation, stop colonization, reform Zionism, save democracy, and divide the land.

The writer continues:

I have pointed the finger at Netanyahu, Lieberman, and the neo-Nazis to wake them up from their Zionist delusion.

Trump, Kushner, Biden, Barack Obama, and Hillary Clinton are not the ones who will end the occupation.

The United Nations and the European Union will not stop the settlements.

The only force in the world capable of saving Israel from itself is the Israelis themselves, by creating a new political language that recognizes reality and the fact that Palestinians are rooted in this land.

I urge you to seek a third way to survive here and not perish.

The writer from Haaretz confirms:

Since the Israelis arrived in Palestine, they have realized that they are the result of a lie created by the Zionist movement, which used all sorts of deception regarding Jewish identity throughout history.

By exploiting and exaggerating what Hitler called the Holocaust, the movement succeeded in convincing the world that Palestine is the “Promised Land” and that the so-called Temple lies beneath the Al-Aqsa Mosque. Thus, the wolf was turned into a lamb, which was nurtured by American and European taxpayer money until it grew into a nuclear monster.

The writer sought help from Western and Jewish archaeologists, the most famous being Israel Finkelstein from Tel Aviv University, who confirmed that “the Temple is a lie and a fairy tale that does not exist,” and all excavations have proven that it disappeared thousands of years ago. This has been explicitly confirmed in many Jewish references, and numerous Western archaeologists have corroborated this.

The last of these was in 1968 AD, when the British archaeologist Dr. Kathleen Kenyon, while she was the director of excavations at the British School of Archaeology in Jerusalem, carried out excavations in Jerusalem and was expelled from Palestine due to her revelation of “Israeli myths about the existence of traces of Solomon’s Temple beneath the Al-Aqsa Mosque.”

She concluded that there is no trace of Solomon’s Temple and discovered that what the Israelis call “Solomon’s Stables” has nothing to do with Solomon or stables but is an architectural model of palaces commonly built in various parts of Palestine. This is despite the fact that Kathleen Kenyon came from the Palestine Exploration Fund Society, with the purpose of clarifying the narratives in the Bible, as she showed great activity in Britain in the mid-19th century concerning the history of the “Near East.”

The Jewish writer emphasized that:
The curse of lies is what haunts the Israelis, and day after day it strikes them in the face in the form of a knife in the hand of a Jerusalemite, Hebronite, or Nabulsi, or with a stone or from a bus driver from Jaffa, Haifa, or Acre.

The Israelis realize they have no future in Palestine; this is not a land without a people as they falsely claimed. Another writer acknowledges not just the existence of the Palestinian people but rather their superiority over the Israelis. This is Gideon Levy, the leftist Zionist, who says:

It seems that the Palestinians are of a different nature from the rest of humanity… We occupied their land and treated their youth with drugs, prostitution, and depravity. We said that after a few years, they would forget their homeland and land, and then the younger generation would erupt in the 1987 Intifada.

We imprisoned them.
We said, “We will raise them in prison.” Years later, after thinking they had learned their lesson, they returned to us with the armed uprising in 2000, which consumed everything green and dry.

We said we would demolish their houses.
We besieged them for many years, and then they extracted missiles and managed to attack us despite the siege and destruction.

We started planning the separation wall and barbed wire… yet they came to us from underground and through tunnels, inflicting heavy losses on us.

During the last war, we fought them with all our might, yet they took control of the Israeli satellite (Amos)? They spread terror in every Israeli home by broadcasting threats and warnings, as happened when their youth managed to seize control of Israel’s Channel 2.

Ultimately, as the author says:
It seems that we are dealing with the most difficult people in history, and there is no other solution for them but to recognize their rights and end the occupation.

The title of the article:
“Israel Takes Its Last Breath”

Writer:
Ari Shavit
Source:
Hebrew newspaper Haaretz

Please spread this article as widely as possible, as it is full of historical facts and written by a writer from the occupying state. Let the leaders of the occupation and politicians know that normalization does not create peace; restoring rights to their rightful owners is what creates peace.
 
Wao husema wanakipenda kifo kama ilivyo kwa watu wa kawaoda wanavyothamini uhai, ajabu ni kwamba Israel ikitungua viongozi wakuu kuna vilio na misagano ya meno.

Israel inaendelea kula vichwa vya viongozi wakubwa kwa spid ya ajabu, Pamoja na kujificha kwenye mahandaki yenye zege zito, Israel inawafikia kunako

Viongozi wote wa juu wa Hezbollah wameliwa vichwa, Wiki iliyopita walimla kichwa kiongozi wa Hezbollah, wiki hio hio wakamla kichwa alietaka kuichukua nafasi hio, Leo hii wamekula kichwa cha Kamanda mkuu wa isafirishaji ndani ya Hebollah,

View attachment 3119006

Huko Iran ngome kuu, Rais alitunguliwa kwenye helikopta, wiki hii wamekula kichwa kingine cha kamanda mkuu wa Quds kitengo cha jeshi kikubwa zaidi Iran.

Viongozi kibao wa Hamas wameliwa vichwa akiwemo kamanda mkuu alietegewa bomu chini ya kitanda akiwa ikulu ndogo ya Iran yenye ulinzi wa special forces akisubiria uapisho wa rais mpya.
Watakuambia hao wote walioliwa vichwa ni wanawake na watoto 😂😂😂
 
Punguza story za vijiwe vya ghahawa na kashata.

Gaza inapewa chakula, dawa na misaada mingi kwa ufadhili wa Israel na umoja wa mataifa,

Nakupa facts kutoka IMF shirika la fedha duniani, Israel ni nchi ya pili kwa uchumi Mashariki ya kati, kwa mwaka huu wana uchumi wa dola bilioni 530 (Shilingi Trilioni elfu moja na 400)

View attachment 3119064

Muisraeli anafadhili kitu gani ?
 
Back
Top Bottom