toa uchawi wakoKi ukweli myama hamwezi mwarabu, tuendelee kujifariji kwa maneno kwani ndio tulichojaaliwa. Kushindwa kufika kwenye goli la waarabu hata mara mora mechi iliyopita ni indication tosha kwamba hatuna huo uwezo!
Muda huo hata ham ya mechi hunaHili hata Yanga wanalijua bayana.
toa uchawi mkuu andae handaki la kujifichaTimu imeshindwa hata kufanya harakati kwenye box la Berkane. Kuwa shabiki wa Simba ni kipaji
Tunatunza risiti.Pamoja na kwamba nilishalisema hili kitambo sana kuwa Simba inaenda kuwa bingwa wa CAF msimu huu, siku hizi chache nilikaa kimya kuhusu hili ili kwanza nijihakikishie baadhi ya mambo.
Nimerudi tena nikiwa nina uhakika wa 100% kuwa Simba inaenda kuwa bingwa wa CAF Shirikisho msimu wa 2024-25.
Tuanze kujiandaa kwa sherehe za ubingwa.
Pamoja na kwamba nilishalisema hili kitambo sana kuwa Simba inaenda kuwa bingwa wa CAF msimu huu, siku hizi chache nilikaa kimya kuhusu hili ili kwanza nijihakikishie baadhi ya mambo.
Nimerudi tena nikiwa nina uhakika wa 100% kuwa Simba inaenda kuwa bingwa wa CAF Shirikisho msimu wa 2024-25.
Tuanze kujiandaa kwa sherehe za ubingwa.
Yaani hapo ndio utajua kweli Yanga inaa mashabiki mbumbumbu zero IQ.Wewe una akili kuliko walioanzisha pigo la penati?
Ndio ,na kesho itapata penakt na kubebwa!5imba hii hii inayotegemea ushindi wa penalties na kubebwa?
Hapo sasa,hakuna namna.Matokeo yakiwa hivi, Berkane bingwa
Uko sahihi kwa 100% Mkuu. Ile kauli mbiu ya Lowassa "Elimu, elimu, elimu!" kumbe ingewasaidia sana hawa Watopolo wasio na akili.Yaani hapo ndio utajua kweli Yanga inaa mashabiki mbumbumbu zero IQ.
Maana hawakubaliani Hadi na Sheria za FIFA.
Kuwaongoza yanga ni rahisi sana, inatakiwa uwe na Hela ya vibudu tu, kwa ajili ya supu ya kunywea kwenye vibakuli vya plastic.
1-2Mpaka Sasa mmeshatutia aibu tayari Yanga katika hii fainali haijafungwa mechi ya kwanza ilikuwa 2:2 na mechi ya pili 1:1
Nyinyi mikia mmeshapigwa 2:0 na kesho mnapigwa tena